Nimeipenda hii, ni nzuri sana. Lakini nina tatizo; Katika "classification" animal kingdom kwa ujumla kuna MONOGAMY, POLYGAMY na !!!!! lakini polyandry (polygamy in which a woman has more than one husband) ipo kwa jamii moja tu ya ndege wanaopatikana Latin America tu sasa sijui iwapo mtazamo huo kama utakubalika.