sikubaliani na uteuzi wa kongosho hadi tumuone
Lizzy for the Queen.
Vote for Lizzy.
Kongosho, hivi unaweza kuamini mi hata sijui nimempigia nani? Dah.......eti nimeambiwa tu 'you have already voted'!
Mkuu, kuna category tano. King and queen of MMU, Man and woman of JF then shemale of the year.kwanini ya wanaume unasema MAN of the year, wanawake unasema QUEEN of the year na ya combined unasema SHEMALE
Sio kusema tu, ni kupiga pia. 😛oaKura yangu kwa AshaDii.
AshaDii anastahili kwa heshima na taadhima
AshaDii anastahili kwa heshima na taadhima
hawa wadada mmewaweka kategori moja nimepata tabu sana kupiga kura, kila mmoja anafaa
hapa ni Lizzy
afu kule kwingine ADI
we vipi, tunakugaya.
Hivi huzioni sredi za hiki kibinti zinavyoburudisha?
Mimi mwanamke sijamlalia juu yake, siwezi kumuita Queen hata siku moja :biggrin: