Poll: Unaunga mkono suala la uchaguzi wa Zanzibar kurudiwa?

Salary Slip

Platinum Member
Apr 3, 2012
49,070
151,323
Tume ya Uchaguzi Zanzibar(ZEC), imetangaza uchaguzi wa Zanzibar kurudiwa tarehe 20/03/2016 baada ya ule wa awali kufutwa.Sababu na mazingira ya kufutwa uchaguzi wa awali ni kila mtu na mtazamo wake.

Je, kwa mtazamo ulionao,unaunga mkono hatua yoyote ile ya kurudiwa kwa uchaguzi huo?
 
Tume ya Uchaguzi Zanzibar(ZEC), imetangaza uchaguzi wa Zanzibar kurudiwa tarehe 20/03/2015 baada ya ule wa awali kufutwa.Sababu na mazingira ya kufutwa uchaguzi wa awali ni kila mtu na mtazamo wake.

Je, kwa mtazamo ulionao,unaunga mkono hatua yoyote ile ya kurudiwa kwa uchaguzi huo?
Bavicha acheni kupoteza muda uchaguzi utarudiwa hapo march utake usitake..
 
Back
Top Bottom