politiki politiki tanzania

babukijana

JF-Expert Member
Jul 21, 2009
13,151
16,082
mi mpaka mwisho sijaelewa anaongea nini,naona viongozi wetu wana wameshalewa,i mean wana ulevi wa madaraka
 
Last edited by a moderator:
mi mpaka mwisho sijaelewa anaongea nini,naona viongozi wetu wana wameshalewa,i mean wana ulevi wa madaraka

Mtoto wa nyoka ni nyoka,hata jaji Makame ameingia kwenye politiki na kutaka kujipendekeza kwa wakazi wa Dar na kuwaongezea muda wa kujiandikisha wakati wananchi wa mikoani kilio chao kikipuuzwa.
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…