Polisi

kingfish

JF-Expert Member
Joined
Apr 15, 2011
Posts
571
Reaction score
159
Jamaa: Heloo polisi hapo? Tafadhali naomba msaada kuna majambazi wanabomoa geti langu
Polisi: Aise pole huku hatuna gari kabisa jaribu kupiga kelele upate msaada wa jirani. Jamaa akasubiri kama sekunde 45 akapiga simu tena,
Jamaa: Hello polisi hapo, nilipiga simu kuwambia kuhusu majambazi, msije nimewatandika risasi na kuwauwa wote. Baada ya dakika mbili Land Rover 3 zikiwa na askari wenye bunduki zilikuwa zimezunguka nyumba yake
 

hiyo ndiyo tz ambayo baba mwanaasha anatujengea..!
 
Mbwa wa polisi wana akili zaidi kuliko polisi binadamu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…