```Nilisimamishwa na polisi jana usiku wakaniuliza mbona natembea usiku nikawauliza kwani usiku watu huogelea..```
*Sipendi ujinga mimi*
```Niko kwa landrover sasa hivi i think wananipeleka home...```[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]