Polisi yasambaratisha sherehe ya ndoa baada ya kubaini binti aliyekuwa akiolewa ni wa darasa la 7

Donatila

JF-Expert Member
Oct 23, 2014
7,557
21,512
Hali ya taharuki imetokea katika kijiji cha Bugimbagi kata ya Mwawaza Mjini Shinyanga baada ya Polisi kuvamia na kusambaratisha sherehe ya ndoa inayodhaniwa kuwa binti aliyekuwa akiolewa ni mwanafunzi wa darasa la saba.
 
‪Hali ya taharuki imetokea katika kijiji cha Bugimbagi kata ya Mwawaza Mjini Shinyanga baada ya Polisi kuvamia na kusambaratisha sherehe ya ndoa inayodhaniwa kuwa binti aliyekuwa akiolewani mwanafunzi wa darasa la saba.


Aliyeshikwa mkono na polisi ni mwanamke Mwenye umri mkubwa tu aliyekuwa amekaa katika nafasi ya bibi Harusi ambaye ni mwanafunzi wa darasa la saba na kujifanya yeye ndiye anayeolewa kumbe walikuwa wakidanganya askari ndipo askari wakabaini ukweli kuwa mwanamke huyo anawachezea mchezo ili kupoteza ukweli.


a5ea46c28fb09e826a4dc70068e7a48c.jpg
 
Namimi nakaoa kabint ka darasa la saba juma pili hii sijui nikaifungue wapi ndoa yangu kama mambo yenyewe ndio haya yashaharibika na mtoto kala chips zangu za kutosha vijero jero ndio usiseme kwao naonekana kama baba wa familia.
 
Back
Top Bottom