Serayamajimbo
Senior Member
- Apr 15, 2009
- 191
- 40
Mualikeni Seif Sharif ili awasaidie kurapu ,mpeni kama nusu saa tu ,muone atakavyowasha moto huko ,ila Sultani CCM akijua kama mtampa ukumbi basi wanaweza kuondoa kibali cha maandamano hayo ,kwani wanamuelewa vyema huwa hana sumile kwa walioko madarakani.
Hamad, Seif Sharif is hypocrite.
Dr Slaa for the Presidency!!Tumuunge mkono Mesimiwa Dr. Slaa, maana anachokifanya ni kwa ajili ya watanzania wote kama sio wengi, tusikamane sote kwa pamoja.
Dr Slaa for the Presidency!!
Wewe unataka afanye lipi ili ujue kama ana uwezo wa kuhumili vishindo? Sijawahi kuona mwanamume ambaye amewahi kuhimili vishindo kama Slaa. Kawataja mafisadi pale mwembe yanga, akalia na Richmond, akafichua Kiwira na Mkapa (Mkapa kufanya biashara Ikulu) etc etc. Sura ya nchi kupigana na ufisadi, hii leo bila ya Slaa ingekuwa ndoto, hata neno ufisadi limetumika kiu-fasaha zaidi baada ya Slaa kuanza kulitumia. Huyu ndiyo can really bring change for our country!Slaa bado kuweza kuhimili vishindo vya Uraisi hata mwenyewe alisikika akidai kuwa hajawa tayari ,kwa maana kwenye Urasi kunahitajika mtu safi ,nina wasiwasi Slaa ana matatizo ambayo anayahisi yamempa sababu za kutokuwepo mstari wa mbele kuhusiana na nafasi hiyo ndio ameamua kurudi katika ubunge ,ila kama Chadema for that nafasi sio mbaya alimuradi Sultani CCM awekwe benchi na kuangali namna gani Nchi inatakiwa kuendeshwa na kushugulikiwa sio kama wanavyoishugulikia wao kimchwa 😀
Slaa bado kuweza kuhimili vishindo vya Uraisi 😀
Yahe umechemsha hapo!Anhaa ,inaonyesha mna jazba.Na hamjazisoma siasa na kuwasoma wahusika vilivyo,hilo sio langu bali yeye mwenyewe alisikika akisema hayupo tayari kugombea,sina kumbukumbu ya wapi na lini lakini JF wapo watu vichwa ambao wanaweza kukuonyesheni hilo.
Mwiba sorry huenda sijakusoma vizuri hivi kwani JK ana nini cha kumzidi Dr. Slaa? Mbona mimi sikioni na the way nchi inavyoendeshwa kienyeji I even have a feeling kwamba mtu yeyote anaweza kuwa rahisi (rais) wa nchi hii though sikuwahi kufikiri hivyo kabla ya hii awamu ya kisanii.
yaheee, tumemwachia Seif tangu mwaka 1995 hajafanya lolote, sasa waachie na wengine wajaribu ati!Huenda ikawa kundi kati ya makundi ya Sultani CCM yanamtumia katika kuzamishana,ndio maana yake ,kesi ya kuwekewa vitega sauti imefikia wapi ,fungueni macho na muone ,eti kawataja ,nakubaliana kuwa kawataja ,na hata Mengi nae amewataja na wengine wanawataja.
Anhaa ,inaonyesha mna jazba.
Ukisema hajafanya lolote utakuwa unajenga dharau ,hao unaowasifia wamefika hapo kwa namna Seif anavyoinyanyasa na kuikaba serikali iliyopo madarakani ,Seifu ni mkuu katika siasa hata Baba yenu wa Taifa Nyerere akilijua hilo.yaheee, tumemwachia Seif tangu mwaka 1995 hajafanya lolote, sasa waachie na wengine wajaribu ati!
SLaa the Presidency!!
Slaa bado kuweza kuhimili vishindo vya Uraisi hata mwenyewe alisikika akidai kuwa hajawa tayari ,kwa maana kwenye Urasi kunahitajika mtu safi ,nina wasiwasi Slaa ana matatizo 😀