Polisi wetu sio watanzania!!!!!!!!!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Polisi wetu sio watanzania!!!!!!!!!!

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by DASA, Nov 10, 2011.

 1. DASA

  DASA JF-Expert Member

  #1
  Nov 10, 2011
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 1,031
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  Mi nikijaribu kuwaangalia polisi wengi, hata picha ambazo zipo humu JF, nahisi kama hawa polisi sio watanzania. Sura zao hazifanani kabisa. na kwa Jinsi wanavyofanya kazi kulinda maslahi ya watu napata picha kabisa kuna ukweli wa hili jambo. kama kuna mtu ana data zaidi kuhusu hii kitu tuambizane.
   
Loading...