Polisi wazima maandamano Lindi, Mtwara... Hakukaliki!

Polisi wazima maandamano Lindi, Mtwara... Hakukaliki!

yeah Mtwara as now u see d light stand up 4 yo right serikali miyayu matendo ndo yanaongea wanahabari kutekwa ingesaidia kupata facts za wananchi kuhuru ukweli wa kinachoendelea ndo maana askari wametumwa fasta ili kuwarudisha kabla hawajaambiwa chochote na hao watekaji
 
mi nisingekubali kuwa mwanamtwa coz kila mwaka mtwara ya mwisho matokeo ya mtihani
natamani watanzania wote
tungekuwa kama wanatwara hii nchi ingekuwa zaidi ya dubai .kila kona ya
nchi imejamaa maliasili na shangaa sasa sisi ndio tunaongoza kwa kukopa
na kupewa misaada na ni masikini wa kudumu
 
Polisi wazima maandamano Lindi, Mtwara hakukalikiHALI ya usalama mkoani Mtwara bado tete baada ya jana Jeshi la Polisi kuwahamishia mkoani Lindi waandishi wa habari 150....Source: Mwananchi JpiliMY Take: Huu moto wa Mtwara unazimwa kwa mafuta ya Petroli na Waziri Mkuu Pinda
Mnamsema Pinda yule aliyekwenda Mwanza na kuwaambia viongozi wa dini kuwa Waislamu waendelee kuchinja? Mkitegemea atamaliza matatizo yenu subiri muone
 
hapo kazi ipo jamaa wamejitenga na dhambi ya kudanganywa na kusadiki upuuzi kazi kwa mawaziri wanaotoka huko.membe.chikawe.ghasia .mkuchika na shemeji yao

VIPI CASSIM MAJALIWA mbona hamkumchomea mali zake au yeye yupo pamoja na wananchi? Manake haya magamba hayana maana na tija kwa wanyonge wa nchi hii pigeni kiberiti na yeye kama ikiwezekana
 
Haiingii akilini! Wananchi kuteka wanahabari? au Polisi wamewateka wana habari?!!
 
Habari hiyo sio ya kweli. Na huyo mkuu wa wilaya ndile ni mchochezi tu. Jamaa yangu aliyekuwepo huko amdnijjlisha kuwa hali nk shwari. Karibu cdm ndile. Kazi tuliokutuma huko imeimaliza.
 
Mkuu mahoza THE BIG SHOW alikuwa anasumbuliwa na njaa sasa kasha shibishwa haonekani tena njaa mbaya sana Mkuu

Hapo tu kwenye njaa mi vijana wenzangu ndo nipokataa kuwakubali vijana.....pole sana the BIG SHOW NA MAHOZA kama ni kweli haya yanayosemwa na mmelaaniwa kwa usaliti wenu......note...kama ni kweli yanayosemwa juu yenu
 
Polisi wazima maandamano Lindi, Mtwara hakukaliki

HALI ya usalama mkoani Mtwara bado tete baada ya jana Jeshi la Polisi kuwahamishia mkoani Lindi waandishi wa habari 150, waliokuwa katika mkutano wa siku tatu wa Kongamano la Nane la Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF), uliofanyika Mtwara.

Waandishi hao walitoroshwa na polisi jana saa 11:00 alfajiri kwenda mkoani Lindi ambapo pia polisi walifanikiwa kusitisha maandamano yaliyokuwa yameandaliwa na Chama cha Wananchi (CUF), kwa lengo la kutaka kupata tathmini ya mwendelezo wa miradi ya gesi na maji.

Habari zinasema wananchi hao walitaka kuwateka waandishi wa habari kwa madai kuwa waliandika habari za kuzimwa kwa uasi wao kuhusu gesi na Waziri Mkuu Mizengo Pinda jambo wanalodai siyo kweli.

Mkuu wa Wilaya ya Mtwara, Wilman Ndile alithibitisha kutokea kwa tukio hilo.

Hata hivyo, alisema kuwa taarifa hizo zilikuwa ni tetesi tu, akiongeza kwamba katika Mkoa wa Lindi kulikuwa na taarifa kwamba yangefanyika maandamano makubwa, lakini hakuna kilichotokea.

“Ulikuwa ni uvumi wa watu, unajua hivi sasa anaweza kuibuka mtu na kutuma ujumbe mfupi wa maneno kuhusu jambo lolote tu, ila suala hilo la waandishi wa habari ni kweli na asubuhi niliambiwa na OCD, lakini hali ni shwari sasa,” alisema.

Mgogoro wa gesi uliibuka mwishoni mwa mwaka jana, baada ya Serikali kutangaza mpango wake wa kutandaza bomba la gesi kutoka mkoani humo kwenda Dar es Salaam.

Source: Mwananchi Jpili

MY Take:
Huu moto wa Mtwara unazimwa kwa mafuta ya Petroli na Waziri Mkuu Pinda

Liwe fundisho kwa waandishi wa habari wa TZ kwani mambo wanayoandika huwa mengine wanajifanya kama wao si Watz na Nchi yetu ikipatwa na balaa wao hawahusiki au hawataathirika.
 
hapo kazi ipo jamaa wamejitenga na dhambi ya kudanganywa na kusadiki upuuzi kazi kwa mawaziri wanaotoka huko.membe.chikawe.ghasia .mkuchika na shemeji yao

mawaziri hawa wameshajipambanua kuwa ni wasaliti kwa wanamtwara na wanalindi
 
Habari hiyo sio ya kweli. Na huyo mkuu wa wilaya ndile ni mchochezi tu. Jamaa yangu aliyekuwepo huko amdnijjlisha kuwa hali nk shwari. Karibu cdm ndile. Kazi tuliokutuma huko imeimaliza.

Fuatilia vizuri chanzom chako cha habari kimekudanganya.

Nimeongea na waandishi waliokuwa kule wamenithibitishia hali haikuwa shwari hata kidogo
 
Polisi wazima maandamano Lindi, Mtwara hakukaliki

HALI ya usalama mkoani Mtwara bado tete baada ya jana Jeshi la Polisi kuwahamishia mkoani Lindi waandishi wa habari 150, waliokuwa katika mkutano wa siku tatu wa Kongamano la Nane la Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF), uliofanyika Mtwara.

Waandishi hao walitoroshwa na polisi jana saa 11:00 alfajiri kwenda mkoani Lindi ambapo pia polisi walifanikiwa kusitisha maandamano yaliyokuwa yameandaliwa na Chama cha Wananchi (CUF), kwa lengo la kutaka kupata tathmini ya mwendelezo wa miradi ya gesi na maji.

Habari zinasema wananchi hao walitaka kuwateka waandishi wa habari kwa madai kuwa waliandika habari za kuzimwa kwa uasi wao kuhusu gesi na Waziri Mkuu Mizengo Pinda jambo wanalodai siyo kweli.

Mkuu wa Wilaya ya Mtwara, Wilman Ndile alithibitisha kutokea kwa tukio hilo.

Hata hivyo, alisema kuwa taarifa hizo zilikuwa ni tetesi tu, akiongeza kwamba katika Mkoa wa Lindi kulikuwa na taarifa kwamba yangefanyika maandamano makubwa, lakini hakuna kilichotokea.

“Ulikuwa ni uvumi wa watu, unajua hivi sasa anaweza kuibuka mtu na kutuma ujumbe mfupi wa maneno kuhusu jambo lolote tu, ila suala hilo la waandishi wa habari ni kweli na asubuhi niliambiwa na OCD, lakini hali ni shwari sasa,” alisema.

Mgogoro wa gesi uliibuka mwishoni mwa mwaka jana, baada ya Serikali kutangaza mpango wake wa kutandaza bomba la gesi kutoka mkoani humo kwenda Dar es Salaam.

Source: Mwananchi Jpili

MY Take:
Huu moto wa Mtwara unazimwa kwa mafuta ya Petroli na Waziri Mkuu Pinda

Kwanza hao bima ya afya ni matepeli na wasumbufu sana.
Ngoja tufungue ofisi ya kanda
Ngoja 2015, hii bima kitaeleweka.
 
Tena bila shaka amepigwa ile IP Permanent BAN kwa hiyo hawezi hata kuja na ID nyingine wala kuchungulia as a guest mpaka abadilishe DEVICE (modem or phone). otherwise atasubiri mpaka BAN yake itakapo expire.

Duuuuh!ndo maana simuoni
 
Back
Top Bottom