Kuna nchi bara la asia ilitokea kua baada ya amri ya kuzuia maandamano ya wananchi kwa police, police pia walijiunga na maandamano wakiwa na silaha zao. Wakina mama walikua wakiandamana na masufuria huku wakiyapiga kwa vijiko kuashiria ugumu wa maisha....
Jamani naomba kujua ni hatua zipi zinachukuliwa dhidi ya udhalimu huu? Chonde wenye kujua namna ya kumsaidia Frida na wenzake fanyeni kitu kutuliza machozi yao!