Polisi waumbuka kwa kifo cha Mwangosi ushahidi ni huu.

Hata polisi nao ni watoto wa walalahoi tunaodhalilishwa kimaisha na vitendo vya MAFISADI wanaofilisi nchi.

Kuna nchi bara la asia ilitokea kua baada ya amri ya kuzuia maandamano ya wananchi kwa police, police pia walijiunga na maandamano wakiwa na silaha zao. Wakina mama walikua wakiandamana na masufuria huku wakiyapiga kwa vijiko kuashiria ugumu wa maisha....

Nadhani siku zinahesabika hapa kwetu.
 
"Iko siku tutazoea kuchinjwa na kuchinjana", hakuna marefu yasiyo na ncha; amani haiji ila tu kwa ncha ya upanga.

"Nyerere Kaunda Banda Azikiwe Kikwete"
 
Jamani naomba kujua ni hatua zipi zinachukuliwa dhidi ya udhalimu huu? Chonde wenye kujua namna ya kumsaidia Frida na wenzake fanyeni kitu kutuliza machozi yao!
 
Lord Have Mercy! nimeogopa sana! hakuna amani tena Tanzania! RIP Dave!
 
Back
Top Bottom