Polisi watawanya Kikao cha CUF usiku huu

dubu

JF-Expert Member
Oct 18, 2011
3,500
3,481
Polisi wamelazimika kutumia mabomu ya machozi kuwatawanya wafuasi wa CUF waliokuwa wanafanya kikao usiku kwenye ofisi za Mpendae Zanzibar

Chanzo:ITV
 
Polisi wamelazimika kutumia mabomu ya machozi kuwatawanya wafuasi wa CUF waliokuwa wanafanya kikao usiku kwenye ofisi za Mpendae Zanzibar

Chanzo:ITV
Yamewafika shingoni sahz wanawaza namna gani watawaambia wananchi kuwa watashiriki uchaguzi.
 
Polisi wamelazimika kutumia mabomu ya machozi kuwatawanya wafuasi wa CUF waliokuwa wanafanya kikao usiku kwenye ofisi za Mpendae Zanzibar

Chanzo:ITV
Shein ameshakuwa dikiteta mkubwa kilichosalia ni kuangamiza watu Kwa mamia na maelfu.
 
Shein Kwa Sasa ameingia kwenye Marais madikteta Hatari Duniani , Utawala wake tayari umeingia doa kubwa Udikteta umemfanya awe kiziwi haoni hasikii la mtu yeye kaamua kuua watu tu ,
 
Hapo wakiambiwa wao ndio wanaratibu hizo vurugu wanabisha…!!! Vikao gani vinafanyika usiku…!!
Acha unafik vikao ving muhimu vya vyama vyote vinafanyika usiku kikiwepo hicho cha kufuta uchaguzi na hata kinyang'anyiro nya kumpata magu vilikaa had usiku.......kaondoka Gaddafi na Husn Mubaraka sembise hawa....
 
Back
Top Bottom