Polisi wamshangaa Ronaldinho

Ukwel hawez kuwa na hyo hela uliotaja.. em acha uongo wewe, ana followers zaid ya 51mil insta.. na unajua alipwa sh ngp kwa post!

Mchezaj kama yeye lazma awe na mkataba wakudum... either wa kiatu ama mavas..we kwa akil yako hyo hela uliotaja angeweza hata kufka Paraguay!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Thanks..I have passed through and see something!
 
Hii hela sijaitaja mm kuna article hapo juu nimeiweka embu isome vizuri ndo utanielewa kuhusu hiyo £5.
 
Dinho bado anayonafasi ya kurudi tena kuwa juu mana bado anao mvuto wa kibiashara.
Aisee!

Sasa hapo ndo Basi ten.

Ameshapoteza heshima, kapoteza Mali, na juhudi zote zile uwanjan ni sawa na hamna.
 
£5! Hapa si tunaongelea kama elfu 12 za kibongo? So wavuvi kibao huku mtaani wanamzidi kipato!
Unajua jamaa anakabiliwa na madeni mengi sasa na aliachana na yule mwanamke ake sasa uyu demu naye anataka hela so jamaa nahisi kama vile kaamua kuzificha hivi.
 
Mvuto upi tena wakati reputation yake ishachafuliwa?

Hizi habar zake zishamchafua na watu watazikuza hizi scandal kuliko hata pigo za dinho uwanjan.

Kampun gan itakubal kufanya Kaz na mtu ambaye jamii ishamtoa thaman!

Dinho bado anayonafasi ya kurudi tena kuwa juu mana bado anao mvuto wa kibiashara.
 
Huenda Gaucho akatumikia kifungo cha miezi 6 kwa kosa la kuingia nchini Paraguay kwa pasipoti feki, japokuwa kaka yake amesisitiza kwenye utetezi wao kuwa walidanganywa juu ya pasipoti hizo.
 

Attachments

  • 1583667799079.jpg
    8.9 KB · Views: 12
Shida ya Dinho ni
1. Anapenda mademu mnooo
2. Starehe za dunia ndo zake
3. Anashindwa kuwekeza vya kutosha
4. Pombe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…