Okay jichange basi nunua mpya aisee khaa au unless ni landcruiser au Hilux 3Lgari nimeendesha toka 1992. karibu swali la pili. hija ya tatu gari langi usililinganishe na haya ya siku hizi. Usajili wake ni B na lilipokuja likuwa na miaka 20 toka litengenezwe
Magarii yenu haya ya siku hizi hata unipe bure. Likiguswa tu linachanika. Ndiyo maana likipata ajali waendeshaji wake ngumi mikononi maana mnajua ndiyo kwa heri hivyo- na likiwa la mkopo ndiyo ugomvi hautaisha.Okay jichange basi nunua mpya aisee khaa au unless ni landcruiser au Hilux 3L
Heri wewe wamesema zina chongo, mimi mwenzako walisema ati taa zangu zina makengeza, hivi kweli!!!Akaniambia tena naona kama taa yako ya kulia ina chongo- ni mbovu. Nikamwambia sikuwa najua hivyo.
Nadhani aliakuwa najenga hoja ya kuja kuniuliza kuhusu ubovu wa taa- maana nisingekuwa nimewasha taa wala asingeona na pengine asingenisimamisha.Akaniuliza: "Mbona umewasha taa mchana kweupe hivi?"
Nikamjibu: "Sikujua kama taa zilikua zinawaka"
Sasa kama kuwasha taa mchana kweupe ni jambo la kawaida kwanini alikuuliza? na wewe kwanini ulimjibu kua hukujua kama taa zilikua zinawaka?
Kwani kuna madhara gani kama Dereva ataamua tu kuwasha taa mchana?Nadhani aliakuwa najenga hoja ya kuja kuniuliza kuhusu ubovu wa taa- maana nisingekuwa nimewasha taa wala asingeona na pengine asingenisimamisha.
Nadhani kama sikosei ilishatolewa amri kama siyo masafara wa kiongozi au dharura si sheria kuwasha taa mchana wakati unaendesha gari barabarani.
Ndiyo , umekosea. Ahsante kwa chakula hupewa yeyote alieandaa, mama mwenye nyumba hupewa appreciation kwa kuratibu maandalizi.Asante kwa chakula hupewa mama mwenye nyumba siyo mdada wa kazi- au nimekosea