Polisi wafunga mitaa Arusha, RPC Shana Aonya

N
Nguvu kubwa akili kisoda!
 
Jana kweli waliwatisha wananchi ,mm walinikuta road na ving'ora vyao wakanambia paki pembeni nikajua Kuna mtu mzito wa serikali anapita!!kuja kutahamaki ni polisi tupu na silaha kabambe za moto wakisisitiza mtapata tabu sana wahalifu leo mkifanya fujo, but all in all big up coz Kama Kuna mtu alijipanga kufanya uhalifu kwa lile biti lazima kasitisha mipango yake.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…