Ni vyema ukajikita kwenye hoja kuliko kuongea stori za kitoto, kunitukana mimi haitakufanya ujue kwa nini polisi wameenda kumtembelea Lema wakati akiwa amepumzika nyumbani kwake
Aliyeko mahabusu kwa kosa la kigaidi ni mimi au Mkurugenzi wenu wa usalama?
Ww msukule wa lumumba kazna tu alafu usisahu asubuhi kuchukua mshiko wako wa buku 7 kwa Nepi.
imekula kwenu mwaka huugaidi mpo wengi mtaani lakin ni kawaida yenu kuwabambikizia kesi hata wasiohusika.
Huo utaalamu wa kujitengenezea sm mnao nyie magamba, Marando aliwaumbua mlipotaka kumbambikia Mnyika kesi. Sasa mkuu wa mkoa alivyokuwa fyatu yule anashindwa nini kukurupuka na kumtumia Lema sms hiyo? we kwa akili yako unamuona mulongo zinamtosha???
you deserve hell.... inatia simanzi kuona kijana unasaliti watanzania wenzio kwa sababu ya mali hebu acha uchumia tumbo unaolitesa taifa tamani siku moja TZ iwe kama hapo ulipo ili usiteseke na kudharaulika kama mnavyodharaulika sasa huko tunataka mabadiliko shout aloud we need changesHuyu hana ujasiri wowote zaidi ya kutembea na sumu ya panya mfukoni.
Na kama angekuwa jasiri basi ile sumu angeifikisha alikotumwa.
Anashinda hapa kuchochea vijana wakati yeye mwenyewe hatujawahi sikia hata siku moja akijikita mtaani kujiunga na makamanda wengine
i like you benaint a coward.jilengedhe uone.kwangu mimi haki,heshima ya utu kwanza kabla ya uhai
Mkuu Mwita Maranya, hawa watu wanajidhalilisha sana humu, ingekuwa bora kama wangenyamaza kimya kuficha upumbavu wao. Wengine mpaka wanasau jana waliandika nini na leo waandike nini ili wasichanganye mambo.
Kuwa kilaza ni gharama kubwa sana.
Kma kweli una uchungu na Lema unaonaje na wewe uende nyumbani kwake badala ya kutoa update kutumia source za wengine? Tunataka updates kutoka kwako ukiwa mstari wa mbele eneo la tukio, sio kuwatuma vijana mnawafanya chambo wapigwe marunguUpdates kutoka nyumbani kwa
Mbunge Lema!!
Askari zaidi wameongezwa, Kuna
kikosi cha mbwa kipo kinazunguka fensi ya eneo la Mbunge.
Bado kuna majadiliano na viongozi wa Chadema..
Wanachama na wapenzi wa Chadema wazidi kuja eneo hili kukesha ili kuhakikisha usalama wa mbunge wao..
Waliopo hawana mpango wa
kuondoka.
Source;Seria Mtoto
Ben Saanane is smart for nothing and smart for brainless.Huyu hana ujasiri wowote zaidi ya kutembea na sumu ya panya mfukoni.
Na kama angekuwa jasiri basi ile sumu angeifikisha alikotumwa.
Anashinda hapa kuchochea vijana wakati yeye mwenyewe hatujawahi sikia hata siku moja akijikita mtaani kujiunga na makamanda wengine
Kweli tanzania inaitaji viongozi wenye uvumilivu na wasio kurupuka.huyu mkuu wa mkoa kweli anasikitisha.uwezo wake unampa kila mtu mashaka.kama anaweza kuongea maneno ya uchochezi mbele ya waandishi wa habari.na ameshindwa kuongea na wanafunzi wa chuo.je ana uwezo wa kuongoza arusha?kweli arusha iko kazi.mungu ibariki arusha mungu ibariki tanzania
Wanasema kwenye msafara wa mamba na kenge wamo,Ben Saanane is smart for nothing and smart for brainless.
Mpiganaji ni yule akisikia kimenuka anakuwa wa kwanza ground zero kupambana. Huyu jamaa akisikia kimenuka huwa wa kwanza kwenye keyboard ku-update.
Nimempa ushauri wa bure angalau aonyeshe mshikamano ndani ya CHADEMA kwa kupanda basi kesho na kuelekea Arusha kuongoza mapambano uso kwa uso na mkono wa dola badala ya kujifucha uvunguzi na laptop.
Yaani yeye ana bahati gani hajaweza hata kukamatwa achilia mbali kupata kipigo na kusimama mahakamani. Cha kushangaza, unazifahamu tarehe za kesi za makamanda vizuri kweli.
Tunataka na ya kwake tuione na kui-update akiwa kizimbani kama anavyofanya kwa makamanda wengine.
Kma kweli una uchungu na Lema unaonaje na wewe uende nyumbani kwake badala ya kutoa update kutumia source za wengine? Tunataka updates kutoka kwako ukiwa mstari wa mbele eneo la tukio, sio kuwatuma vijana mnawafanya chambo wapigwe marungu