Polisi wadaiwa kumsaka Mange Kimambi. Latolewa agizo la siri kwa vituo akionekana akamatwe!

Mange kaumiza maisha ya watu wengi sana, kachonganisha mahusiano ya watu, ni mtu wa 'kwanini', ana wivu sana anapoona mwanamke mwenzie anatusua.

Ni kundi la watu aina ya 'psychopath' - yani mtu mwenye chuki sana na watu, hana huruma na yupo tayari kuona damu ya mwenzie ikimwagika ndio furaha ije usoni mwake.

Japo kwa upande mwingine anaraise issues ambazo zinatuhusu , hasa uovu wa watawala wetu, lkn katika suala la maisha ya watu binafsi anakosea sana.

Watu wengine hawanaga maneno, hawataki visasi, utawaharibia lkn karma haitakuacha ukatize salama.

Ni kawaida kwa mwanamke wa Kipare, yaani ni washirikina sana na wana wivu wa kijinga.
 
Nashangaa sana kuona baadhi ya member jf kusifia kwamba mange kashindikana na serikali,mange kama karatasi tu yaani mwepesi kukamatwa kwake na kitu chochote anachotegemea na nahisi wastaafu waliamia CDM wanausika na yote haya
 
Usifikiri mjinga mange kutukana serikali anajiwekea ulinzi na kuwa mkimbizi wa kisiasa anasema siwezi kurudi tz wataniua kwa hiyo wamarekani wanamlinda
 
Siku wakimkamata yule mkosa malezi ya pande mbili nitafanya sherehe kubwa na nguvu..maana hata kama anayoyaongea baadhi yanakaukweli lakini si kwakutumia lugha za matusi ya nguoni kuwatukan watu hivyo..Mungu amdhalilishe yule mama kwakuwadhalilidha watu wazima na wadogo.
 
Mange kaumiza maisha ya watu wengi sana, kachonganisha mahusiano ya watu, ni mtu wa 'kwanini', ana wivu sana anapoona mwanamke mwenzie anatusua.

Ni kundi la watu aina ya 'psychopath' - yani mtu mwenye chuki sana na watu, hana huruma na yupo tayari kuona damu ya mwenzie ikimwagika ndio furaha ije usoni mwake.

Japo kwa upande mwingine anaraise issues ambazo zinatuhusu , hasa uovu wa watawala wetu, lkn katika suala la maisha ya watu binafsi anakosea sana.

Watu wengine hawanaga maneno, hawataki visasi, utawaharibia lkn karma haitakuacha ukatize salama.
Kwaio kaumiza na maisha ya daudi bashite sio kwamba yote yanayosemwa anasingiziwa
 
Back
Top Bottom