Polisi wadaiwa kumsaka Mange Kimambi. Latolewa agizo la siri kwa vituo akionekana akamatwe!

Unawajua wanaompasia hizo nyeti za ndani ya Serikali yako? Hao hao watamtengenezea passport nyingine na kuituma kwake kirahisi sana.

"The Home of Great Thinkers"

mkuu umenichekesha sana, passport siyo kadi ya chanjo unatengeneza na kutuma, kwanza passport huwezi kuituma ikavuka mpaka wa nchi kama document yoyote, pia passport lazima achukulie ubalozini wa nchi anayoishi, na system siyo unaweza kutoa kinyemela tu, japo passport ni haki kwa raia wote lakini uhamiaji wanauwezo wa kukupa au kukunyima.
 
Mnajidanganya sana nyie wapenda udaku. Wenzenu wwnamwona Mange mpayukaji hajui hata anachopigania. Soma alishosema mwaka juzi. Anapingana na cha mwaka jana. Na sasa ya mwaka jana yanapingana na mwaka huu. Ni dikteta. Ukimwambia ukweli anakublock.kama kweli serikali ingetaka kumtesa Mange ingefanya bila hata kizuio. Hapa marekani wanauana kila siku. Ubaguzi mkubwa sana. Afu mnasema eti. Ahhhh. Achaneni. Na hela nyie. Waza tu hata house girl akiamua kuwapoteza familia. Nzima. So msijifariji. Sema tu wamemdharau. Ingawa najua naongea na vilaza ila mkiamua mtaelewa .
Eti wamemdharau ..ahahaaaha wewe unacheza kweli....
sio kila.mtu kilaza kama.unavofikiri aiseee ...wewe mkeo anakuvua nguo stendi unasema aaah mke wang acha bas jamani huku unamchekea haya bwana jipen moyo bwana.
 

mkuu umenichekesha sana, passport siyo kadi ya chanjo unatengeneza na kutuma, kwanza passport huwezi kuituma ikavuka mpaka wa nchi kama document yoyote, pia passport lazima achukulie ubalozini wa nchi anayoishi, na system siyo unaweza kutoa kinyemela tu, japo passport ni haki kwa raia wote lakini uhamiaji wanauwezo wa kukupa au kukunyima.
Mkuu nimesha renew passport mara 3, ya kwanza na ya tatu nililetewa na mtu ofisini kwangu. I know and I am sure of what I am saying. Passport ya kwanza niliomba na kuipata within a day......
 

mkuu umenichekesha sana, passport siyo kadi ya chanjo unatengeneza na kutuma, kwanza passport huwezi kuituma ikavuka mpaka wa nchi kama document yoyote, pia passport lazima achukulie ubalozini wa nchi anayoishi, na system siyo unaweza kutoa kinyemela tu, japo passport ni haki kwa raia wote lakini uhamiaji wanauwezo wa kukupa au kukunyima.
Watu wamekuwa na mahaba mpaka yamefunga mifumo ya maarifa na Akili wanadhani pass ni kadi za harusi ambazo unaweza kutuma tu
 
SIDHANI KAMA KUNA HAJA YA KUHANGAIKA NA MANGE, pa kuparekebisha ni jikoni, jiko linavuja unakimbilia njie utanyeshewa tu. pia waosha vyombo jikoni wana thamani sana..wana ndugu zao wangependa nao wale chakula cha jikoni.
mh! sijui nakosea- ngoja nikimbie......
Mange alitengenezwa, akapewa kila zana akafanya aliyofanya 14-15 baada ya hapo si amekuwa toilet paper akataka kuwaonyesha kuwa bado kuna watu walikuwa nyuma ya yule waliyemtaka. Mange anaweza akatoweka sura ila mange watazuka wengi ni kama weaklink. Assange yupo uhamishoni uk kwenye ubarozi wa watu lakini bado kazi inafanyika na mambo yana lick. Hii ni system siyo mtu msiangalie sura. Mnadhandi mna maspy wa kutosha lakini yawezekana mange hayupo hata marekani ila mtamtuma daudi ajifanye tozi Ground Station amtafute kumbe mwenzie yupo Munich.
 
kiukwei huyu dada ss hvi kawa snowden kama unavyosema bwana mshana ..... info zote anazipata nway issue ni kuwa watu wanapiga kelele kwa mambo ya msingi na hayafanyiwi kazi na kutokana na sheria ya mtandao kwa hyo info zote zinaelekezwa kwake na yy analipuka tu kama kawaida
 
Nyumba kubwa kunavuja kuna leakage mahali.... Muundo wetu wa habari za siri sio air tight mark tena! Kuna mianya

Mange amekuwa the first to know figure kwenye mambo mengi sana... Ni nani anampenyezea habari nyeti kabisa? Za watu binafsi na hata nyumba kuu? Au ni wale wanajeshi mashushushu waliokuja na Obama Kisha tukawakabidhi paa letu ili waangalie usalama?

Mange amekuwa snowden wa Tanzania.. Lakini sijui Kama kwa hali ilivyo atavumiliwa sana....namkumbuka Ben pekeyake na chatu
Leo kwa habari za chini ya zulia ilitoka hati ya kumkamata pengine huko aliko lakini akainyaka kabla haijamfikia rasmi... Kama kawaida yake kawafungukia mbaya

Namkumbuka Karegeya wa Rwanda na kilichompata hotelini South Africa peke yake chumbani

Mshana ,pia inaelekea watanzania wanaumia SANA na huu utawala ,haufuati haqi,utawala unaaminisha raia kuwa maisha yamekuwa magumu sababu wapija dili na wezi wamezuiwa,hapo hapo watu walioko ndani ya utawala wanaona tafauti,maana yake ni kwamba upijaji upo isipokua kwa watu muhimu na maalum ,ndio maana Mange anapata support mpaka za ndani kabisa na anatumiwa na haohao,because ndio sehemu pekee ambayo unaweza ku demonstrate the truth na kuongea habari ambazo zinaogopesha lakini zinaukweli.

Hii inadhihirisha kuwa Tanzania bado haijakuwa kwenye mikono ya watu sahihi .Maskini ataizidi kuwa maskini ,na faqiri atazidi kuwa faqiri na tajiri atazidi kuwa tajiri.Matokeo yake ndiyo hivyo maskin na mafaqiri wanaambiwa watoke nje ya box ,bimaana ,wajiajiri kama jinsi wakuu walivyojiajiri.Very Funny !

Kwakweli Mange apewe ulinzi ,na heshima kubwa na ushirikiano mkubwa,bimaana hatupaswi kumuamini Mtu yeyote isipokuwa macho yetu na masikio yetu ,ikiwa Mange anakuja na ushahidi ulio uchi ,je ni kipi tena ambacho tunaweza kuamini zaid ya macho yetu?

Cha msingi Mange ahimarishe ulinzi wake na vile vile hizi show za kibongo wala asiende,location zake zisiwe public bisababu wale wote ambao wana maslaha katika haya,hakika hawatoacha kutafuta njia ya kufanya vitimbi na ufasiqi juu ya nafsi yake ili wananchi waendelee kudanganywa na kuaminishwa kuwa utawala huu ni wa Haqi na ni wakuondoa dhulma ,hali ya kwamba wameikumbatia dhulma Katika nafsi zao na ndimi zao na vifua vyao.
 
Wakati mwingine heshima ya Nchi ni bora sana kuliko heshima ya mtu Mange anafanya
Personal Attacks kwa viongozi na watu lakini huyu akiachwa tu kuna siku ataanza kufanya mambo ya ajabu na kuwa threat kwa National Security hapo ndio utakuja kujua hayo mazingira mazuri ya watoto wako unayoyapigania sasa yamekuwa ni mabaya zaidi
umekula mchana naona akili imekosa virutubisho
 
Haha, in short mange siku yake ikifika atajileta mwenyewe tz na akija kisha habari yake. Haina cha lisu wala nani. Lazuma awajibike kwa makosa yake
 
Back
Top Bottom