S sony wega JF-Expert Member Joined Jun 18, 2012 Posts 234 Reaction score 35 Aug 19, 2012 #1 Polisi wa jiji alimkamata jamaa akikojoa sehemu iliyoandikwa MARUFUKU KUKOJOA HAPA , akamtoza jamaa faini ya elfu 5, yule jamaa akampa sh 10;000 /= polisi akamwambia, kojoa tena sina chenji........... Imekajee hiyo
Polisi wa jiji alimkamata jamaa akikojoa sehemu iliyoandikwa MARUFUKU KUKOJOA HAPA , akamtoza jamaa faini ya elfu 5, yule jamaa akampa sh 10;000 /= polisi akamwambia, kojoa tena sina chenji........... Imekajee hiyo
kamtu33 JF-Expert Member Joined Mar 15, 2012 Posts 998 Reaction score 409 Aug 19, 2012 #2 Iko poa aiseeeeee.