Polisi Ndio Wachochezi. Wajirekebishe ......!

Polisi Ndio Wachochezi. Wajirekebishe ......!

Mwingereza

JF-Expert Member
Joined
Jan 21, 2014
Posts
1,115
Reaction score
2,771
Jamani mtaniwia radhi kusema kwamba, wachochezi nchii hii, na watu watakaoleta machafuko ni polisi wetu. Juzi Mkuu wa operesheni na mafunzi, bila aibu alitamka wazi kwamba mauwaji ya mbagala iliusishwa na UKUTA. Leo Kamanda Siro katoa mpya kwamba Fedha zinapitishwa, na wana intelijensia kuthibitisha. Matokeo yake, wamekuja kuwakamata askari was wastaafu kuwa ndio majambazi

Haha polisi ndio wachochezi kwa maana kwamba, waziwazi wanazuia haki za msingi za kuandamana zilizopo kwenye katikaba. Ifike muda hawa watu watumie akili zao kufanya maamuzi siyo kuropoka na maneno yanayoweza kuleta umwagikaji wa damu.

Ni hawa polisi ndio wanazunguka mitaani wakitunishia raia wasiokuwa na silaa nguvu zao. Unapomtishia mtu , lazima naye ajihami, kwani hajui kama kweli utakuja kumvamia. Polisi jirekebisheni mnatia aibu.
 
Wamepandishwa vyeo majuzi hapa,lazima waonyeshe fadhila
 
Back
Top Bottom