Miss Zomboko
JF-Expert Member
- May 18, 2014
- 4,502
- 9,282
Nimependa hizo sare zao..! Yaani kampuni ikiwa na sare kama hizo ni jeshi tosha..!Polisi nchini Zambia Inawashikilia raia wawili wa China baada ya kukamatwa wakitoa mafunzo kwa jeshi la mgambo bila kibali, mjini Livingstone
Mtu mmoja alikamatwa Jumamosi na mwingine Jumapili katika mji mkuu wa utalii wa Livingstone, polisi alisema.
Kwa ujumla, angalau watu 11, wakiwemo na raia wa Zambia, walikamatwa katika operesheni hiyo.
Kamishna wa Polisi wa Mkoa wa Kusini, Bonny Kapeso alisema katika taarifa yake kuwa mmoja wa watu waliokamatwa ni Mkurugenzi wa Usalama nchini Zambia huko Livingstone.
Polisi wamefanikiwa kukamata silaha za moto na risasi.
=================================
Police in Zambia arrested two Chinese nationals over the weekend over allegations that they were giving illegal military training to members of a local security firm.
One was arrested on Saturday and another on Sunday in the country’s tourist capital, Livingstone, police said.
In total, at least 11 people, including Zambians, were arrested in the operation, police added.
A Zambian director of Alert Safety Security in Livingstone was also detained, Southern Province Police Commissioner Bonny Kapeso said in a statement.
Police had confiscated shotguns, a pistol and ammunition, he added.
The security company and the suspects have not yet commented on the allegations.
View attachment 884347
ZAMBIA: Police arrest Chinese for ‘illegal military training’ – Daily Trust
Write your reply...Nchi zilizoendelea zinatatuta overseas colonies. Ila wachina hawana tofauti na wasukuma. Wanaushamba flani hivi, wazungu long time wapo Afrika lakini wapo smart. wao wamekuja juz tu vurugu kibao.
Sio wabia ni koloni la ChinaKwani China si ni wabia wa Zambia kwa sasa?
Nyanoko nu noko aliko mashindo gaboWrite your reply...Nchi zilizoendelea zinatatuta overseas colonies. Ila wachina hawana tofauti na wasukuma. Wanaushamba flani hivi, wazungu long time wapo Afrika lakini wapo smart. wao wamekuja juz tu vurugu kibao.
Acha kutukana watanzania wenzako we kimaWrite your reply...Nchi zilizoendelea zinatatuta overseas colonies. Ila wachina hawana tofauti na wasukuma. Wanaushamba flani hivi, wazungu long time wapo Afrika lakini wapo smart. wao wamekuja juz tu vurugu kibao.
Kwahiyo ukifafanishwa na mchina ni tusi jamanai?Acha kutukana watanzania wenzako we kima
Mbona tafsili yako si sawa na ya kiingereza mkuuPolisi nchini Zambia Inawashikilia raia wawili wa China baada ya kukamatwa wakitoa mafunzo kwa jeshi la mgambo bila kibali, mjini Livingstone