Polisi na rb

JAYJAY

JF-Expert Member
Joined
Oct 31, 2008
Posts
9,025
Reaction score
9,595
kuna tukio moja ambalo jamaa alipigwa na jamaa mwingine, kisha yule mkosaji akakimbilia kituo cha polisi kuripoti kabla ya yule aliyejeruhiwa, na yule aliyejeruhiwa alipofika akawekwa selo kabla ya baadae kutolewa. hivi RB kwa nini inatumika kukomoana.
 
Unajua jeshi la polisi ni wababaishaji tu. unajua kumrundika mtu ndani sio jambo linalokuja moja kwa moja. Mtu anasekwa ndani kama inaonekana ni hatari au anaweza kutoroka na mambo mengine . Ndo maana kuna kila kile kipengele chamtu kujidhamini mwenyewe. Jamaa wanatumia kipengele cha kurundika watu ndani ili kujiongezea kipato kwani serikali haiwali[pi vizuri.
 
Polisi!
Kuingia bure, kutoka ........................
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…