π‘ Polisi: hodi hodi hodi...?
:cool2: Jamaa: kimya....
π‘ Polisi: hodi hodi..?
:cool2:Jamaa: We nani ?
π‘Polisi: Sisi polisi...
:cool2:Jamaa: Mnataka nini ?
π‘Polisi: Tunataka tuongee na wewe..
:cool2: Jamaa: Mnataka kuongea na mimi ?
π‘Polisi: Ndio ..
:cool2: Jamaa: Mpo wangapi ?
π‘ Polisi: Tupo wa 3
:cool2: Jamaa: Kumbe mpo wa 3... Si muongee wenyewe