polisi na madeal

Washawasha

JF-Expert Member
Joined
Aug 7, 2006
Posts
16,974
Reaction score
13,431
Mambo zenu? eti jamani hivi ni kwanini Polisi hakupi deal mpaka akikukamata ndio anaanza kuchukua namba na kuanza kukupa madeal ya kupata mahela au hata kukusaidia pale mambo yanapokuwa sio mazuri? Nalog off
 
Tutachangiaje wakati si tume log in na ww ume log off?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…