Polisi ben
JF-Expert Member
- Oct 24, 2012
- 303
- 83
Anaonyesha ni gani anavyokerwa na ufanyaji kazi wa kipuuzi wa hao(Kama ID NAME yako inavyojieleza).
Da mkuu BBJ na wewe?
Anaonyesha ni gani anavyokerwa na ufanyaji kazi wa kipuuzi wa hao(Kama ID NAME yako inavyojieleza).
nadhani watanzania hawajajua kwamba kwa nini tuna polisi na kwa bahati mbaya kuna watu wanatumia mwanya huu kufanya uchochezi kweli kw a maslah yao binafsi.hawa ni wanasiasa waliofilisika kutoka katika chama ambacho mnakijua vizuri.Hii nayo ni moja ya habari za uchochezi na tuwe makini na habari kama hizi!
hivi wewe unadhani tuna haja ya kuwa na polisi katika jamii? kama wakiwepo, unadhani hawatakiwi kuwa na silaha yeyote,au wanatakiwa wawe nazo? kama wanatakiwa wawe nazo; ni silaha za aina gani unadhani wanatakiwa kuwa nazo na kwa nini? kama wakiwa nazo; unadhani zitakuwa ni kwa ajili ya nini kama sio kupigia watu (wanaovunja sheria halafu wakajifanya vijeba!)Ndo wajifunze kuishi na watu, wewe umpige mtu virungu mchana kumbe umepanga kwenye nyumba yake na usiku unaenda kulala, aisee hata kama ni mimi nakutimua. Sasa mnaishi mtaa mmoja then unambutua halafu badaye iweje?
nadhani watanzania hawajajua kwamba kwa nini tuna polisi na kwa bahati mbaya kuna watu wanatumia mwanya huu kufanya uchochezi kweli kw a maslah yao binafsi.hawa ni wanasiasa waliofilisika kutoka katika chama ambacho mnakijua vizuri.
tunakoelekea hakuna dalili njema ya mahusiano wanananchi na vyombo vya dola hususani jeshi la police
Na si hivyo tu,suala la kujiuliza ni je? tunayajua majukumu ya polisi? kama ndio; tunadhani wanatakiwa wawe hawayatekelezi! kama ndio kwa nini! na kama wakitekeleza tunalalamika;je! tuna haja ya kuwa na polisi? ujue mpaka sasa bado mimi sijaona kosa la polisi wa Mtwara.Hebu kama kuna anaeliona aniambie.Na nawashangaa sana watu wanaowahamasisha raia wawe wanapambana na polisi. Najiuliza kama kweli wanafikiri kwa kutumia akili kama wanavyofanya watu wengine au ............Hapo nipo na ww mkuu, polisi alaumiwe kwa lipi?hv kweli hawajui majukumu ya polisi? Je polisi wakiagizwa kisha wakaidi unadhani nn kitatokea, unadhani polisi wanapenda kuwatesa ndugu zao? Ujue kuna wkt polisi hulipua mabomu ya machozi wakati huohuo machozi yakimtoka kwa ajili ya ndugu zake, AFANYE NN? ZAIDI YA KUTEKELEZA ALICHOAMURIWA, TAFAKARINI VIZURI