Mmawia
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 122,490
- 96,054
Leo Azam tv wametangaza kuwa polisi Morogoro wamemshikilia diwani wa CHADEMA kwa tuhuma za kumbaka mtoto wa kike mwenye miaka 14.
Jambo la ajabu huyo anayedaiwa kubakwa na diwani amehojiwa na Azam tv na kusema kuwa alifundishwa na polisi kuwa aseme kuwa amebakwa na huyo diwani.
Huu ni mwendelezo wa chuki ya vyombo vya dola dhidi ya CHADEMA.