Polisi mnalitia aibu Taifa

Kwa dunia ya Leo bado kingereza ni tatizo kweli hadi kufikia mtu kuandika ungrammatical English!?


Ikiwa hata Mimi Leo hii naweza andika content ya kichina au kijapani bila kuwa na uelewa wa lugha husika
 
Kikubwa ujumbe unaeleweka grammar sifikirii Kama ni shida
 
Hii barua ina makosa mengi mno ni aibu kwa taifaView attachment 3514181


Mimi kwa kuwa nilisoma Sayansi naona barua iko sawa kabisa kwa sababu huwa tuna focus kwenye ujumbe uliokusudiwa na sio kwenye lugha/English
Hata hivyo kilicho hitaji marekebisho kidogo ni hiyo address na wala sio ujumbe....kwa hiyo ujumbe umefika.
Tuache kuwa wajuaji wakati English yenyewe hatuijui......pengine wanaokejeli ni wale waliosoma Kula Lala Faulu (KLF/HKL nk)
 
kama hatujui English je barua inalenga hakina nani?
 
kama hatujui English je barua inalenga hakina nani?

Barua iliyo kusudia waswahili ilitoka mapema kabisa kwa kiswahili.
Hii iliyo ambatanishwa hapa ililenga wale wanao tumia English na wameelewa vizuri na wala hapa kuwa na haja ya kuileta huku mtandaoni.....
 
Reactions: Tui
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…