mgeni wenu
JF-Expert Member
- Jan 2, 2012
- 3,664
- 1,731
Kulingana na mikutano, na maandamano ya CHADEMA, wakuu wa polisi Mara wametakiwa kujieleza.
mimi nawashauri kwenye mahojiano waseme...mikutano na maandamano ni haki ya kikatiba ya kila mtanzania. La msingi yawe ya amani kama ya chadema.
Ehee, itakuwa kinana kashapata taarifa - yetu macho!!Kulingana na mikutano, na maandamano ya CHADEMA, wakuu wa polisi Mara wametakiwa kujieleza.
harafu kazi utawapa wewe