G4rpolitics
JF-Expert Member
- Jul 29, 2015
- 4,376
- 5,264
Wakinani unawambia we tahira nini? Wewe unalinganisha kubenea ambaye hajifichi na majambazi...kubenea ajifiche kwani ameua we vpi?Kama hamuwezi kuwapata majahili wa Kibiti basi msichimbe mkwara kwa Kubenea kwamba Tanzania ni ndogo. Kwa hiyo kwa Kubenea kumpata rahisi, kwa majambazi ndio hamuwezi? Nakwambia chizi wewe!
Huyu maskini Nyani Ngabu ana chuki na watu waliofanikiwa, anatamani angekuwa yeye mahali pa Lissu!Mbona umekomaa sana na Lisu mkuu!
Mtanzania halisi, badala ya kufanya kazi kwa juhudi uwe kama Lissu, wewe umekaa kumchukia unadhani hizo chuki zako dhidi yake zitamshusha awe maskini na mjinga kama wewe. Kama mwenyekiti wenu tu..."Natamani hao waliokuwa wanaishi kama malaika waishi kama mashetani"!Atanyooka tu.
Wakinani unawambia we tahira nini? Wewe unalinganisha kubenea ambaye hajifichi na majambazi...kubenea ajifiche kwani ameua we vpi?
Anyooke kwa hii MICHOKO polishxxm? Huyo atakuwa Sio LissuAtanyooka tu.
Atanyooka maza akoAtanyooka tu.