Polisi kwenye mkutano wa chadema

Ngamia

Member
Joined
Mar 13, 2013
Posts
6
Reaction score
1
Katika mkutano wa siasa,Hivi polisi anatakiwa ageukie upande wa wananchi au upande wa kiongozi anayeutubia wananchi!au na yeye anasikiliza!
 

Attachments

  • ImageUploadedByJamiiForums1363495014.950965.jpg
    15.5 KB · Views: 651
Anasoma meseji ya nyumba ndogo huyo!
 
Ukitaka kujua askari wetu hamna kitu... Ni kwenye mpira,badala ya kulinda usalama na yeye ni Mshabiki
 
Wapi kaangalia sio hoja ya msingi, muhimu ufanisi wa kazi anayotakiwa kufanya.
 
kwa mujibu wa picha uliyoiweka huyo askari yuko makini,maana yuko nyuma ya wananchi baada ya kufanya tathmini yake na kugundua kuwa hakuna tatizo amejiweka pembeni akifuatilia kwa makini nini? kinachoendelea.T unapenda mno kufananisha polisi wa ulaya wanaosimamia mipira na polisi wetu wanaosimamia mipira pia.tutake tusitake matuki yanayotokea ktk viwanja vyao na yale yanayotokea ktk viwanja vyetu ni tofauti,fuatilia mipira ya mtaani yaani[ndondo] huone matukio yanayotokea na askari wanafanya nini? utaamini na utadhani wako ulaya soka letu tazama hata waaandishi wanavyojazana kwenye goli moja na makamera yao.
 
Sisi tunaka polisi wetu wafanye kazi zao kiulayaula, sisi raia tunaishi kiulayalay?
 
Huo mkono wa kulia unalinda MINJINGU Fertilizer Factory, aka 0173... ?????????
 
Sasa chochote kikirushwa toka nyuma yake atatoa majibu gani? Kam sio kusema HICHO KILICHORUSHWA KILIRUSHWA NA WANACHAMA WA CHADEMA!!! I oftenly argue that these people are terribly bogus kind of security personnel under the sun!!
 

rekebisha lugha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…