East African Eagle JF-Expert Member Joined Jul 26, 2013 Posts 3,759 Reaction score 2,211 Jun 2, 2015 #1 Kwa mtu mbishi asiyetaka kutii sheria bila shuruti dawa yake hii hapa ya kumpa kabla ya kumfikisha kituoni [video=youtube;2U2ultIWs50]https://www.youtube.com/watch?v=2U2ultIWs50[/video]
Kwa mtu mbishi asiyetaka kutii sheria bila shuruti dawa yake hii hapa ya kumpa kabla ya kumfikisha kituoni [video=youtube;2U2ultIWs50]https://www.youtube.com/watch?v=2U2ultIWs50[/video]
Zamaulid Platinum Member Joined May 25, 2009 Posts 20,343 Reaction score 16,807 Jun 2, 2015 #2 yaani unataka watuchape viboko,,,hayo si ya kuiga kwa kweli...labda waige ya police wa burundi
mrangi JF-Expert Member Joined Feb 19, 2014 Posts 96,540 Reaction score 138,495 Jun 2, 2015 #3 Ngoja wewe ukutane na huo Mkong'oto ndy utafahamu...
Inno laka JF-Expert Member Joined Mar 24, 2012 Posts 1,616 Reaction score 585 Jun 2, 2015 #4 kabisa ndivyo inavyotakiwa hata maandamano wawe wanaua tu,,,nasema Raia wapigwe tu
Determinantor Platinum Member Joined Mar 17, 2008 Posts 61,495 Reaction score 100,910 Jun 2, 2015 #5 Ndio akili zetu zimefikia hapo mwisho wa kufikiri??? Hahahahaaaa
K kiogwe JF-Expert Member Joined Oct 24, 2012 Posts 3,763 Reaction score 4,947 Jun 2, 2015 #6 Hivi kwa huu mtifuano wa Watangazania posho za wale vijana wa mwigiru Lumumba bk 7 zitakuwa zinatoka kweli au ndio zimefutwa
Hivi kwa huu mtifuano wa Watangazania posho za wale vijana wa mwigiru Lumumba bk 7 zitakuwa zinatoka kweli au ndio zimefutwa