Polisi fungeni jicho moja

Polisi fungeni jicho moja

Sema Kweli

Member
Joined
Apr 12, 2013
Posts
53
Reaction score
20
Habari za siku wadau.

Leo nilikuwa maeneo ya mtowambu kabla sijarejea Arusha nimehudhuria mkutano wa CCM uliokuwa ukihutubiwa na viongozi wa CCM kwa maana ya katibu mkuu,katibu mwenezi na wabunge kadhaa akiwamo Lowasa,

Kama kicha cha habari kinavyo jieleza hapo juu hayo ni maneno ya katibu mkuu aliyo kuwa akiwaeleza polisi kuwa sio lazima kukagua kila kitu wanacho fanya wananchi wakati mwingine wanapaswa wapotezee kwa wananchi wanakuwa wanatafuta riziki tu hawajaua mtu akasema kuwa kuwa na kosa ni mpaka utakapo kamatwa na polisi ila kama utakuwa unapiga dili zako mara ya kwanza ya pili naya tatu hujakamatwa achana na dili hilo tafuta nia nyingine.

Hii ni siasa ila aina hii ya siasa ni hatatari kwa kuwa polisi wetu wanaweza kufunga jicho kwa mpiga dili ambaye wanajuana nae na wameshirikiana kwa namna moja ama nyingine.

Nafika mahali najiuliza hivi siasa zimewaisha viongozi wetu hawana cha kuwaeleza watanzania zaidi ya kuwapa vichekesho na kuigiza jambo ambalo sio sahihi?

Mbaya kuliko yote na kama siasa hizi zitaachwa ziendelee hivi basi aina hii ya viongozi watakuwa hawaitakii mema nchi hii na watanzania kwa ujumla.

Kabla ya katibu mkuu alihutubia katibu wa itikadi ndugu nape nauye kiukweli alinisikitisha sana kwa aina ya siasa anazo fanya kwa kweli watanzania kama taifa hili litandelea kuruhusu huyu jamaa kuhubiri siasa za chuki kwa kiwango hiki basi tutajie hatari,ndugu nape anasema kuwa chama cha CDM kinaongozwa kwa kutegemea umwagaji wa damu sasa mimi hapa sielewi kama chama kinamwaga damu za watanzania na tulio wapa madaraka ya serikali wako kimya nani wa kulaumiwa na kama hawana ushahidi na jambo hili nikwa nini wanalihubiri kama sio lengo la kuwatisha watanzania?

Ni jambo ambalo sio sawa mtu anahubiri ubaguzi,udini,ukanda kwa manufaa ya kisiasa na badala yake anatumia kama sehemu ya kukichonganisha chama kingine sio sahihi hata kidogo kwa mwanasiasa kama nape kwani madhara ya kuwagawa watanzania kwa namana ya udini na ukanda ni hatari kwa amani ya taifa letu.
 
Nape amrithi marehemu Komba pale TOT,tena apewe TOT Taarab
 
sema kweli umezusha....polisi wafunge jicho moja hilo umesikia wewe tu...wanahabari wooote waliofurika pale wasisikie...ni wazi wewe mchonganishi..na nape anazungumza ukweli kwani mahubiri yenu kila siku yanaashiria umwagaji wa damu
Habari za siku wadau.

Leo nilikuwa maeneo ya mtowambu kabla sijarejea Arusha nimehudhuria mkutano wa CCM uliokuwa ukihutubiwa na viongozi wa CCM kwa maana ya katibu mkuu,katibu mwenezi na wabunge kadhaa akiwamo Lowasa,

Kama kicha cha habari kinavyo jieleza hapo juu hayo ni maneno ya katibu mkuu aliyo kuwa akiwaeleza polisi kuwa sio lazima kukagua kila kitu wanacho fanya wananchi wakati mwingine wanapaswa wapotezee kwa wananchi wanakuwa wanatafuta riziki tu hawajaua mtu akasema kuwa kuwa na kosa ni mpaka utakapo kamatwa na polisi ila kama utakuwa unapiga dili zako mara ya kwanza ya pili naya tatu hujakamatwa achana na dili hilo tafuta nia nyingine.

Hii ni siasa ila aina hii ya siasa ni hatatari kwa kuwa polisi wetu wanaweza kufunga jicho kwa mpiga dili ambaye wanajuana nae na wameshirikiana kwa namna moja ama nyingine.

Nafika mahali najiuliza hivi siasa zimewaisha viongozi wetu hawana cha kuwaeleza watanzania zaidi ya kuwapa vichekesho na kuigiza jambo ambalo sio sahihi?

Mbaya kuliko yote na kama siasa hizi zitaachwa ziendelee hivi basi aina hii ya viongozi watakuwa hawaitakii mema nchi hii na watanzania kwa ujumla.

Kabla ya katibu mkuu alihutubia katibu wa itikadi ndugu nape nauye kiukweli alinisikitisha sana kwa aina ya siasa anazo fanya kwa kweli watanzania kama taifa hili litandelea kuruhusu huyu jamaa kuhubiri siasa za chuki kwa kiwango hiki basi tutajie hatari,ndugu nape anasema kuwa chama cha CDM kinaongozwa kwa kutegemea umwagaji wa damu sasa mimi hapa sielewi kama chama kinamwaga damu za watanzania na tulio wapa madaraka ya serikali wako kimya nani wa kulaumiwa na kama hawana ushahidi na jambo hili nikwa nini wanalihubiri kama sio lengo la kuwatisha watanzania?

Ni jambo ambalo sio sawa mtu anahubiri ubaguzi,udini,ukanda kwa manufaa ya kisiasa na badala yake anatumia kama sehemu ya kukichonganisha chama kingine sio sahihi hata kidogo kwa mwanasiasa kama nape kwani madhara ya kuwagawa watanzania kwa namana ya udini na ukanda ni hatari kwa amani ya taifa letu.
 
Kwa Nape hasilaumiwe siasa analazimisha tu kwa njaa alokuwa nayo ci fani yke .
 
kazi ipo!! nchi imevulugika!! kuna mambo viongozi wanafanya ni kama wamejitoa akili!! kazi ipo!!!
 
kinyesi.

Back
Top Bottom