Polisi feki adakwa Mwanza

POLICE BOSHEN
USALAMA WA TAIFA BOSHEN
TAKUKURU BOSHEN.....
MAISHA YAKI KUPIPA ITAFANYA STYLE YOYOTE UJIINGIZIE HELA.

OVA
 
Ukija kumpima unaweza kukuta utetezi wake anamatatizo ya akili yaliyosababishwa na msongo WA mawazo,ajira hakuna so akaiba nguo za polisi anaemjua.
Mwenye akili hawezi vaa kama huyu jamaa.
Utetezi wake utakuwa hana akili na uchizi wake ukamfanya kuwa obsessed na upolisi so akaiba nguo za anaemjua kutimiza kiu yake.Hapo mwenye uniform anaficha jambo.
 
Mtupio wa mwendokasi.du hicho kiatu na trouser kwa ndani heavy sana ashukuru ni za police ingekua ni za wajeda mbona angeipenda hicho kichapo chake cha awali na hiyo 1kati ya 4 ingekaa sawa!
 
Jamaa alikuwa anatafuta kitu kidogo huko mtaani si unajua ukiwa ni askari hulali njaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…