mcubic JF-Expert Member Joined Mar 3, 2011 Posts 10,310 Reaction score 6,548 Dec 1, 2014 #2 Aaah..nilifikiri kama ya wale matrafiki waliobambwa na kutemeshwa kibarua
HARUFU Platinum Member Joined Jan 21, 2014 Posts 31,703 Reaction score 48,143 Dec 1, 2014 #4 Jinsi pua ukinusa mfano vitu vya maabara jinsi unvyosikia zinavyouma kwa ndani na huwa nikiwaona hawa watu wanaopyenga huwa nafikiria sijui hawasikii maumivu puani!
Jinsi pua ukinusa mfano vitu vya maabara jinsi unvyosikia zinavyouma kwa ndani na huwa nikiwaona hawa watu wanaopyenga huwa nafikiria sijui hawasikii maumivu puani!
Horseshoe Arch JF-Expert Member Joined Aug 10, 2009 Posts 13,402 Reaction score 12,791 Dec 1, 2014 #5 Ni mfano mzuri ili wakishughulikia wahalifu wanaotumia bila kibali cha 'mkuu wa polisi' wawashughulikiie wakijua athari practically
Ni mfano mzuri ili wakishughulikia wahalifu wanaotumia bila kibali cha 'mkuu wa polisi' wawashughulikiie wakijua athari practically