Polisi ampigia saluti Lowassa

naona afande ameachia vidole viwili juu huyo hana kazi kesho
 
Kamanda huyo anatoa heshima kwa kamanda mwenzie.Msishangae hiyo ni itifaki tu inazingatiwa.
 
Hata Magufuli anapaswa kumpigia salute Lowassa maana huyo ndiye aliyekuwa waziri mkuu wake.
 
oooooooooooooooooooooooooooooooooops
 
Ndugu wana jf hebu nipeni elimu ya kutosha kuhusiana na ofisa wa police jana Kigoma baada ya kuteremka kwenye helkopta je alikosea au yuko sahihi na kama alikosea atachukuliwa hatua gani ? Je Lowasa bado anapata stahiki zake zote ? Kama Waziri mkuu mstaafu ? Namaanisha ulinzi wa Serikari,Posho ya kila mwezi na Usafiri
 

Mtoto wa kiume punguza umbea, swali umeuliza wewe kisha ukajijibu wewe halafu unataka tuchangie nini? Punguza upashkuna.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…