Huyo kaka ni muuaji..
hivi ajira ilivokua ngumu nyakati hizi ukamsababishie mtu akose ajira kwa 5000/10000 hela ya sadaka hio jamani....
kwakweli pamoja na kuwa hajafanya kitendo kizuri kupokea rushwa na kutoa pia...
ila mimi binafsi nmeumia maana hio video ikifika mahala stahiki kaka wa watu kazi hana...
hakuna maisha magumu kama kuwa jobless.....
magari yenyewe ya kibongo makosa kibao
Kweli mkuu halafu ukute ni mshikaji wake wanajuana kampa ya maji yuko juani na hakuna sauti yoyote inayodai rushwa, au mimi sijasikia?Rushwa sisi ndio tunawapa, wakiikataa sisi ndio tutaumia. Besides, hiyo wanaenda kung'arishia viatu tu, kuwa mpole.
Imeruhusiwa kabisa elfu 5 ya kubrashi viatuKatika pita pita nimekutana na hii video ikimuonyesha askari Polisi kijana kabisa akipokea rushwa kutoka kwa dereva wa gari ndogo. Pamoja na hali ilivyosasa lakini mambo bado hayajabadilika. Namshauri Mh. Magu aondoe mifuko kwenye sare zao labda kidogo tutapunguza hili tatizo.
Hao jamaa ni wangese kweli..Mambo gani kurekodiana
Adhabu hii inawahusu wote wawili aliyetoa na aliyopokea rushwa maana kutoa in kosa na kupokea ni kosa.Katika pita pita nimekutana na hii video ikimuonyesha askari Polisi kijana kabisa akipokea rushwa kutoka kwa dereva wa gari ndogo. Pamoja na hali ilivyosasa lakini mambo bado hayajabadilika. Namshauri Mh. Magu aondoe mifuko kwenye sare zao labda kidogo tutapunguza hili tatizo.
Haya bukta zikitolewa wataweka kwenye tigopesaHata mifuko ikiondolewa watazificha kwenye bukta tu
Ni kweli, magari mengi 90% lazima yapatikane makosa, sisi ndio huwabembeleza wasitupige faini angalau wapokee buku 5 au 10Rushwa sisi ndio tunawapa, wakiikataa sisi ndio tutaumia. Besides, hiyo wanaenda kung'arishia viatu tu, kuwa mpole.