ni haki polisi na walimu kuiba au kufanya uhalifu wowote kutkana na hali duni walionayo!!!sioni kosa lao ila pia wanatutesa sana raia mtaani kila kitu kwao ni kosa ,unakuta askari anakuambia indicator ya gari lako imepinda lipa fain.
huoni kosa hapo???hawa polisi wala rushwa sio wakuwatetea ipo siku watakuja kwako kukupandikiza kesi ya madawa alafu wakata hela wasikupeleke ngome.kibya zaidi hawa watu wanamtandao mkubwa sana na raia wa kawaida kwaiyo wao wakiona ishu yoyote wanaitolea macho then wanataka chajuu.kuna sekta lakini sio hii sekta kwa kweli...
Angalau wamejisikia aibu, niliwahi kuandika humu kuna mfanya biashara ana duka kubwa la jumla lipo karibu na kona ya barabara ya Tandale hospitali na Kwamtogole uwa anashusha mafuta ya kula ya dili, siku ya kushusha fuso inakuja huku inasindikizwa na landcruiser za blue za polisi na wakifika dukani tu utashangaa polisi wanamiminika kutoka kila kona wengine kwa bodaboda, taxi au difenda kama kunguru wameona mzoga wanachukua chao mapema bila kificho, yaani ni aibu sana na huyo mfanyabiashara sijui anapataje faida labda kama anawapa bukubuku.
kumbuka kwamba huyo mfanyabiashara halip KODI
Mbona hao polisi ni kwaida yao, kuna askari hapo kituo cha mabatini anaitwa SAMSONI yaani huyo alishakubuhu, kafikia hatua ya kujitengenezea mishara bubu kwa baadhi ya walala hoi.
Polisi wanaotumia landcruiser za blue mkonga ni zaidi ya majambazi kova na mwema lifanyien kazi hili.
intelijesia yake imeona ukitaja majina wengine hawatapeleka pesa walizopata maana hao wadogo wakipata pesa katika hizo dili wanapeleka kwa wakubwa ili wa walinde ilikitokea la kutokea na ndio maana anakigugumizi kutaja majina ana chochote mpenda notiKova bwana.....sasa hao askari hawana majina wala namba?