zubedayo_mchuzi
JF-Expert Member
- Sep 2, 2011
- 4,873
- 1,221
Ama kweli chadema tunaitishia CCM yaani vyote hivyo ni kwenye mkutano wa chadema tu....Katika mkutano wa Chadema dodoma,Dogo janja alishangazwa na Serikali ya magamba.
Kupeleka police 800,magari ya washawasha 4..na vingine kama waenda vitan vile.
Magari 45 ya police
Magari 4 ya maji washa.
Mabomu ya machozi ya kutosha.
Siku ya kufa nyani miti yote huteleza.
Kaka hapa nikuingia msituni..Habari za ndani ya jeshi la polisi ni makuruta mia tisa kutoka ccp walipelekwa Arumeru. Achilia mbali waliotoka maeneo mengine ndani na nje ya mkoa wa Arusha! Kama walilipwa posho ya elfu kumi kila mmoja, magari na pkpk yakawekwa mafuta, basi zilitumika zaidi ya milion 10. Sawa na madawati 333 ambayo yangeweza kutumiwa na wanafunzi karibu elfu 1 wa shule za msingi!
mimi niliona la PWANI.Gharama 2 za bure,afu polisi arusha hawakutoa maocampo coz wanadaiwa lema kawalisha itikadi,naunga mkono hoja coz nliona defender yenye chata 'MORO FFU' na RCO DODOMA.
Tayari mkuu bado hawaja fanya hivyo rasmi lakini tuko nao mitaani wamechoka na mambo ya CCM....itafika wakati hata wenyewe wataweka silaha chini kuwa 'Sasa inatosha!'
Ila tujipange zaidi maana hawa lali wakifikilia jinsi ya kuiangamiza CHADEMA....Kila kitu kina mwanzo na mwisho,mwisho wa CCM upo karibu hivyo watanzania msiwe na hofu.
Ukishangaa ya musa utayaona ya firauni. Unajau zanzibar ni vikosi vingapi active and armed to teeth wakati wa uchaguzi?
1. Jeshi la polisi
2, JWTZ
3.JKU
4.KMKM
5. Chuo cha mafunzo MAGEREZA
6. VALANTIA
7. Kikosi cha zimamoto na uokozi.
Viongozi wa nchi hii honestly vilaza ni wengi!!!!!!