Police wamenipiga toch ya nyumban badala ile ya barabara na kunipiga fain nikagoma

upload_2017-5-16_17-40-46.jpeg
Mkuu sikuchukua picha
 
Aman iwe nanyi wapendwa

Kama kichwa cha habar kinavyo someka hapo juu

Leo asubuh mida ya saa mbili nikiwa kwenye dinga la wife natoka kumpeleka kazin nilikutana na maaskar wakanipiga mkono nikasimama tu fresh ili kuwasikiliza kitu gan wanataka

Police mmoja akasema nimetenda kosa la kuendesha kwa speed kubwa hivyo nilipe fain

Nikawambia nioneshe. Namba za gar kwenye hiyo toch yenu ni mda gan mimi nimeendesha kwa speed, police mmoja akatoa toch ya kichina ambayo niya kumulikia nyumban akaiwasha kialama chekundu akanambia unaona hapa imeweka taa nyekundu kumanisha kuwa wewe ndo ulikuwa unaendasha kwa speed

Nikamwambia usizan watu wote ni malofa kama wale malofa wa mkapa, msinifanye mimi sina akili hii ni toch ya nyumban achen usanii nyie, sio kila mtu anatokea kolomije

Tukabisha sana hapo nikawachomolea uhun wao nikasepa zangu

Tuwen makin sana jaman
Unaweza kulipishwa kwa kupigwa toch ya nyumban

Sio utan ni ukweli ndugu

LONDON BABy
We nawe maneno mengi yaan muongo sana.
Mara unakaa nyumba ya kupanga na unaomba ushaur kati ya kununua gari na kujenga ufanye lipi!!
Mara hii ulikua na gari ya wife,sasa kama mna gari si mjenge
Kakojoe ukalale.
 
Yaweza kuwa kweli, kuna siku nzega nilionyeshwa oicha ya spacio nikiambiwa nimeoverspeed wakati mm nilikuwa na kluger, nilipokuwa mkali jamaa aliomba msamaha kishenzi, ni kuwa makini sana na hawa jamaa
 
We nawe maneno mengi yaan muongo sana.
Mara unakaa nyumba ya kupanga na unaomba ushaur kati ya kununua gari na kujenga ufanye lipi!!
Mara hii ulikua na gari ya wife,sasa kama mna gari si mjenge
Kakojoe ukalale.
Mkuu wanawake wa siku hiz hawasomek bora tu kila mtu abaki na chake
 
Mkuu wanawake wa siku hiz hawasomek bora tu kila mtu abaki na chake
Acha uchizi kama akisepa na gari yake utabaki na nyumba yako utaishi kwa amani kuliko mjaze migari kwny nyumba ya kupanga.
Hizo fikra za kuwa wanawake hawaelewek ndizo zinazofanya utake kununua gari yaan ushindane nae na ukitaka ufeli maisha shindana na mwanamke hasa ambae akili zake zipo makalioni wallah utaongea peke yako kama chizi.
 
Yule sio mke wangu mkuu ni demu wangu tu ndugu yangu
 
Leta details kamili wapate kushughulikiwa.
Mkoa, wilaya/ mji/jiji/manispaa na base waliokuwa(sehemu walipokuwa, taja jina.) Ni rahisi sana kuwapata hao wahuni na kuwapa onyo kali.
Hao ndio wanaofanya Mh.Rais kumfokea IGP hadharani.
 
Nilikutana nao hapa maeneo ya sinai mwanza nawajua kwa sura hata kama leo nitapita hapo nawajua
 
Back
Top Bottom