Tulikumiss muda yakhe! Kunkwisharudi Ntwara?Labda kidole kinatoa risasi
Tulikumiss muda yakhe! Kunkwisharudi Ntwara?
Nsharudi, na kidole changu kina risasi, ila si risasi za kuua
Ni risasi za kuunda watoto tu, natasaka wa kuumua nacho
Si kulikuwa na mashindano ya Mamiss humu? Anza kwa mujibu wa matokeo!
Mie dada yake bi kidude u-miss nitauweza wapi?
Kwa hiyo unanipiga sound?
King'asti njoo ushuhudie nazalilishwa hazarani na mjukuu wangu
Kuna mateka, kuna kaka shemeji, niongeze mjukuu?
Nimecheka hapa kazini wee acha tu!!!...Dah!!!