Police kenya

mpingauonevu

JF-Expert Member
Joined
Feb 27, 2012
Posts
621
Reaction score
434
Ikiwa ni kijizatiti ili amani kenya isitoweke tena Polisi kenya wameanzisha kitengo maalum kwa ajili ya kuhubiri injili. wakiwa stage hiyo ni sawa na wakiwa lindo. Serikali ndiyo ilianzisha kitengo hicho ikiwa ni sehemu ya polisi jamii.
hapa wakisifu







hapo injili ilikuwa imekolea

hili ni gwaride la kumpandisha mkuu wao kuanza kuhubiri. kumbuka hawa ni polisi waliookoka na serikali ya kenya imekubali kuwapa kitengo cha kuhubiri huku wakiwa na mfwanda yao ya kazi na wanalipwa kama wako kazini.muhubiri alikuwa ni sajenti.
 

Attachments

  • DSC02809.JPG
    370.1 KB · Views: 604
  • DSC02813.JPG
    425.5 KB · Views: 572
  • DSC02823.JPG
    362.2 KB · Views: 557
  • DSC02826.JPG
    421.2 KB · Views: 544
  • DSC02826.JPG
    390.2 KB · Views: 545
  • DSC02854.JPG
    DSC02854.JPG
    2.4 MB · Views: 109
mkuu pia nadhani kuna program wanaendesha ya kuhubiri katika magereza na huwa inarushwa live na Citizen.I stand to be corrected
 
kenya ni 100% taifa la kikristo.hutaki unaacha.mwenye "wivu" ajinyonge.

msimu wa mzee mwai kibaki,ikulu ya kenya ilikuwa na choir yake kwa jina la " Her Excellency The First Lady's Statehouse Choir ".
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…