Police kazini...

Nakumbuka ulipolipuliwa ubalozi wa Marekani kuna askari wao wa marine walikuwa na mijegeje huku wakiwa wamevaa taulo.. Naona walikurupushwa ndani walipokuwa..
 
Saudari,hiyo njembailichanganya mengine na kazi kabla ya wenziwe kumtimua?
 
hahahah mh mbona bunduki yake kaishikia chini kuliko wenziop angeinyenyua juu kidogo
 
nataka yeye anirenge mimi.............:wink2:

una balaa wewe! baba yangu kabisa? ameshawahi kurenga majambazi matatu tu maishani mwake..Rombo, Moshi mjini na Dodoma nadhani...!

Sasa wewe raia mwema akurenge kwa sababu gani??!:A S 39:
 
una balaa wewe! baba yangu kabisa? ameshawahi kurenga majambazi matatu tu maishani mwake..Rombo, Moshi mjini na Dodoma nadhani...!

Sasa wewe raia mwema akurenge kwa sababu gani??!:A S 39:

mapolisi si wanajifanya mabingwa wa kurengarenga....nataka kumchallenge!!!
 
Una maanisha ninachoelewa au??



Unamwongelea Paloma nn? nahisi yeye ana-refresh tu page kila saa...

duh Mentor............huelewi nini hapo.........embu nipumzisheko kwa dadio bathiiiiii............aargh
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…