Hawa wanaojiita polisi jamii wengi wao ni wahuni,kule Kariakoo wamewekwa kukamata watu wanaoingia mjini na pikipiki zao badala yake wanakusanya rushwa mwanzo mwisho!