Police Iringa yaikaribisha CHADEMA kwa ajili ya M4C

Huyu kakoza kazi yani kakaribisha M4C iringa wakati si utaratibu wa policcm!

Ngoja tuangalie atahamishiwa wapi!
 
Katumia lugha nzuri tusubiri utekelezaji. Wasije sema kuna taarifa za intelijensia kuwa kutakuwa na fujo.
 
Safi sana maana siku ya Jumanne mjini Iringa, POLISI waliona jinsi wananchi walivyo na hamasa ya kusikiliza ujumbe wa M4C, tujukumbushe hali ilivyokuwa mjini Iringa jumanne 28/08/2012 wakati msafara wa M4C ukiingia mjini Iringa:


Source: chadematv 29/08/2012 youtube
 
Last edited by a moderator:
Maafande wengine wanatumia weledi,sio wale wanaobuluzwabuluzwa tu.By the way ameshaona upepo unakoelekea.
 
Huyo kamanda kashaweka kibarua chake rehani ila bora kapima upepo maana

Kuna mazingira inabidi upime upepo unaelekea wapi maana ukipingana nao utaumia mfano mzuri uchaguzi mkuu Mwanza ilibidi kamanda Siro akubaliane na hali halisi na kuruhusu watu washangilie ushindi wa Wenje na Highness wakipita pembeni mwa barabara bila kuzuia magari wakati kuna mazingira tumeshuhudia watu wakitawanywa
 
tusubiri tuone asije akabadili mawazo asubuhi ya sept 2 kama ilivyo kuwa kwa RPC wa Moro
 
Simuamini huyu kamanda, na simuamini yeyote katika polisi. Kwanza kishatoa disclaimer liability!
 
Polisi wako neutral all the tyme waibanie chadema ndo nani mbn ni chama kidogo kama cha madereva wa bodaboda Newala
 
Nina wasiwasi huenda mikutano ya chadema ikazuiwa mpaka melis zenawi atakapo zikwa! Sababu zitakuwa msiba huo kukosa watu na kuingiliana na mikutano ya Chadema! Lakini pia kwa kuwa hakutakuwa na walinzi wa kutosha kulinda mkutano huo.

Sent from mouddymtoi BlackBerry 8520 using JamiiForums.com
 
Huyo kamanda ni afadhali amepima upepo mapeema,upepo hauzuiliwi kwa mkono

Mkuu, hawa ccm magamba (polisi) sio wa kuwaamini sana. inawezekana anasema hivyo leo halafu kesho akatugeuka. ngoja tumsikilizie kwanza. hizi zama sio za kuwaamini sana ccm, wanatuwinda usiku na mchana, hawachelewi kubadilisha maneno. SIKU HIZI HATA RISASI WAMEBADILISHA JINA, WANAITA KITU CHENYE NCHA KALI!!!!!!!!!!!!!



Tuendeleeni kuwaelimisha wananchi, waelimike ili waling'oe madarakani hili li-serikali la ccm MAONGO/MAFISADI/MAJAMBAZI/WAUAJI
 
Back
Top Bottom