PostGE2025 Polepole: Wapo wanaotengeneza orodha ya watakaoshiriki Katika 'Maridhiano' Baada ya Uchaguzi

PostGE2025 Polepole: Wapo wanaotengeneza orodha ya watakaoshiriki Katika 'Maridhiano' Baada ya Uchaguzi

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections

DuaZaMama

JF-Expert Member
Joined
Jun 2, 2025
Posts
1,882
Reaction score
4,129
"Kuna watu wakiwemo wazee wanatengeneza orodha ya nani na nani watashiriki kwenye maridhiano baada ya hii kitu kinaitwa uchaguzi mkuu mimi naita kiini macho watakao shiriki kwenye maridhiano kutupatanisha, sasa hivi wamekaa kimya kwa sababu wanaulaji, mimi naanza kuwakataa leo mmepoteza uhalali, mmepoteza heshima yenu mbele ya umma wa watanzania". Humphrey Polepole alipozungumza kabla ya uchaguzi mkuu wa Tanzania uliofanyika Oktoba 29,2025.
 
"Kuna watu wakiwemo wazee wanatengeneza orodha ya nani na nani watashiriki kwenye maridhiano baada ya hii kitu kinaitwa uchaguzi mkuu mimi naita kiini macho watakao shiriki kwenye maridhiano kutupatanisha, sasa hivi wamekaa kimya kwa sababu wanaulaji, mimi naanza kuwakataa leo mmepoteza uhalali, mmepoteza heshima yenu mbele ya umma wa watanzania". Humphrey Polepole alipozungumza kabla ya uchaguzi mkuu.
Mtu wa jikoni kabisa, alikuwa anajua chakula kinachopikwa. Kibabu Butiku alaaniwe milele ikibidi auawe kwa kumuuza Polepole.
 
Back
Top Bottom