ndolelejiUduhe
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 3,883
- 3,921
Aje sasa aanze kupambana ndipo tutakapo mfanyia tathmini kwamba nafsi yake ilimsuta kweli kweli au ilikuwa ni nafsitumbo tu 😄🤷🏿♂️ !Ndiyo maana ameamua kujiuzuru.
Huenda Nafsi yake ilikuwa inamsuta.
Kwa hiyo wewe hapa duniani hujawahi kutenda kosa lolote?Polepole uhuni kajifunzia CCM na huko wahuni wenzie bado wako
Anacholilia ni kutengwa na kutupwa.
Hakuna hata maana CCM mmoja aliewahi kua mwema.
Huwezi kua mwema wakati umeshiriki kuiba,kubadilisha na kuficha mabox ya kura za wapinzani ili CCm ishinde halafu ukajiiona wewe ni mtu wa haki.
Yote hayo yamefanyika sio wakati wa Mqendazake TU,Bali nyakati zote polepole yumo humo hajawhi hata kushauri TU haki itendeke.
CCM ni ilieile wanachobadilishaga ni Mwenye kiti.
Polepole Hana tofauti na Nape,Mwigulu, January na wengine kama wao,Hawa walishiriki kuwapatia machungu makubwa Wapinzani, lakini wao yalioowakuta wakaanza kutafuta huruma za watu,waliporudishwa kwenye mfumo walikua kimya na maovu yakaendeela kama kawaida.
Huyu ni mhuni TU hana lolote.
Duniani wanafiki ni wengi lakini kwenye hili alilofanya ni kama katubu maovu yake!Siandiki mengi.
Ila mtu huyu ni mnafiki mkubwa.
Alikuwepo serikalini na Chamani wakati serikali aliyokua akiitumikia iliwatendea baadhi ya Watanzania kama wanavyotendewa Leo hii. Mbona hakujiuzuru.
Mfano wagombea wote wa vyama vya upinzani kuenguliwa kwa vijisababu vya uonevu TU.
Baadhi ya wapinzani na wasio wapinzani walitekwa,walipigwa ,waliumizwa na wengine waliuliwa mbona hakukemea au kujiuzuru?
Kuna wafanyabiashara na wasio wafanyabiashara walifilisiwa na wengine kufungwa mbona hakujiuzuru?
Mbowe na wenzake walikua na kesi ngumu wakati akiwa serikalini na chamani kama hii ya Leo ya Lissu mbona hakuonesha kukerwa wala kuipinga kesi hiyo ya uongo?
Humphrey Polepole Karma inakula ndugu.
Mifumo mliyoijenga na kuikumbatia inawarudi.
Pambana TU utarudi kundini hata Nape alipitia unayopitia lkn Mungu aliamua kesi.
Maisha yapo mbele... Huwezi kumtupa mtu motoni kisa maisha yake ya awali hata kama kaongoka, katubu na kujiengua upande wa dhuluma!Kipindi cha Jiwez, alikuwa ndiye mtongoza na mhongaji wapinzani wajiunge CCM, alitumiwa sana kuua Demokrasia nchini, mfumo wa sasa umemuweka kando anajaribu kujambisha tu pengine apewe cheo, kwa ujumla hana nguvu hiyo ajayojitapa anayo...
mnafiki ni wewe! NI WEWE!!!;Siandiki mengi.
Ila mtu huyu ni mnafiki mkubwa.
Alikuwepo serikalini na Chamani wakati serikali aliyokua akiitumikia iliwatendea baadhi ya Watanzania kama wanavyotendewa Leo hii. Mbona hakujiuzuru.
Mfano wagombea wote wa vyama vya upinzani kuenguliwa kwa vijisababu vya uonevu TU.
Baadhi ya wapinzani na wasio wapinzani walitekwa,walipigwa ,waliumizwa na wengine waliuliwa mbona hakukemea au kujiuzuru?
Kuna wafanyabiashara na wasio wafanyabiashara walifilisiwa na wengine kufungwa mbona hakujiuzuru?
Mbowe na wenzake walikua na kesi ngumu wakati akiwa serikalini na chamani kama hii ya Leo ya Lissu mbona hakuonesha kukerwa wala kuipinga kesi hiyo ya uongo?
Humphrey Polepole Karma inakula ndugu.
Mifumo mliyoijenga na kuikumbatia inawarudi.
Pambana TU utarudi kundini hata Nape alipitia unayopitia lkn Mungu aliamua kesi.
Achana na hizo abracadabra; tueleze uongo aliousema.Muda wa uchaguzi huu anacheza na akili za watu.
Ni kwamba CCM wote hakuna mtu hata mmoja mwema,ila sema mnakulana wenyewe kwa wenyewe kama mbwa mwitu.
Chama chemu chote ni genge la wahuni,Hana jipya, Yuko kama alivyokua Nape, wakati wa Mwendazake alipotolewa alilia,aliporudishwa akacheka.
Hamna kitu.
Unataka nikuelezee kile unachofurahia kukisikia.?Achana na hizo abracadabra; tueleze uongo aliousema.
Kuna kuokoka mwanangu. Leo tuko wote kwenye conferenceSiandiki mengi.
Ila mtu huyu ni mnafiki mkubwa.
Alikuwepo serikalini na Chamani wakati serikali aliyokua akiitumikia iliwatendea baadhi ya Watanzania kama wanavyotendewa Leo hii. Mbona hakujiuzuru.
Mfano wagombea wote wa vyama vya upinzani kuenguliwa kwa vijisababu vya uonevu TU.
Baadhi ya wapinzani na wasio wapinzani walitekwa,walipigwa ,waliumizwa na wengine waliuliwa mbona hakukemea au kujiuzuru?
Kuna wafanyabiashara na wasio wafanyabiashara walifilisiwa na wengine kufungwa mbona hakujiuzuru?
Mbowe na wenzake walikua na kesi ngumu wakati akiwa serikalini na chamani kama hii ya Leo ya Lissu mbona hakuonesha kukerwa wala kuipinga kesi hiyo ya uongo?
Humphrey Polepole Karma inakula ndugu.
Mifumo mliyoijenga na kuikumbatia inawarudi.
Pambana TU utarudi kundini hata Nape alipitia unayopitia lkn Mungu aliamua kesi.
Shida sio kwamba aliwahi kufanya makosa na Sasa kaacha.Kwa hiyo wewe hapa duniani hujawahi kutenda kosa lolote?
Hayupo,ndio maana Mimi simshabikii kwa( haya yanayotokea) na ninaona wacha aonje uchungu wa dawa alioshiriki kuwalisha wengine,na wala simuoni kama mwanamapinduzi wa kweli.Kuna mwanasiasa asiyekuwa mnafki?
Nakubaliana na wewe 100 kwa 100 kua Kuna kuokoka ,ila kwa huyo na wengine kama yeye huko CCM hakuna kuokoka ni upepo TU mbaya umempitia, upepo huo uliopita utazijua rangi zake halisi.Kuna kuokoka mwanangu. Leo tuko wote kwenye conference
Ila Polepole angeweza kuwa chawa na kuendelea kula maisha.Hayupo,ndio maana Mimi simshabikii kwa( haya yanayotokea) na ninaona wacha aonje uchungu wa dawa alioshiriki kuwalisha wengine,na wala simuoni kama mwanamapinduzi wa kweli.
Polepole,Kakurwa,Ngugai na wenzake hawakumkubli Mama Yao na walitamani kumuengua.Aliemuokoa Mama Yao na Afande.hivyo hata nafasi ya uchawa asingeipata.Ila Polepole angeweza kuwa chawa na kuendelea kula maisha.
Siandiki mengi.
Ila mtu huyu ni mnafiki mkubwa.
Alikuwepo serikalini na Chamani wakati serikali aliyokua akiitumikia iliwatendea baadhi ya Watanzania kama wanavyotendewa Leo hii. Mbona hakujiuzuru.
Mfano wagombea wote wa vyama vya upinzani kuenguliwa kwa vijisababu vya uonevu TU.
Baadhi ya wapinzani na wasio wapinzani walitekwa,walipigwa ,waliumizwa na wengine waliuliwa mbona hakukemea au kujiuzuru?
Kuna wafanyabiashara na wasio wafanyabiashara walifilisiwa na wengine kufungwa mbona hakujiuzuru?
Mbowe na wenzake walikua na kesi ngumu wakati akiwa serikalini na chamani kama hii ya Leo ya Lissu mbona hakuonesha kukerwa wala kuipinga kesi hiyo ya uongo?
Humphrey Polepole Karma inakula ndugu.
Mifumo mliyoijenga na kuikumbatia inawarudi.
Pambana TU utarudi kundini hata Nape alipitia unayopitia lkn Mungu aliamua kesi.
Bibi UshungiHapo nani muhuni?