Lee Van free
JF-Expert Member
- Aug 14, 2024
- 2,665
- 8,305
Siandiki mengi.
Ila mtu huyu ni mnafiki mkubwa.
Alikuwepo serikalini na Chamani wakati serikali aliyokua akiitumikia iliwatendea baadhi ya Watanzania kama wanavyotendewa Leo hii.
Mbona hakujiuzuru.
Mfano wagombea wote wa vyama vya upinzani kuenguliwa kwa vijisababu vya uonevu TU.
Baadhi ya wapinzani na wasio wapinzani walitekwa,walipigwa ,waliumizww na wengine waliuliwa mbona hakukemea au kujiuzuru?
Kuna wafanyabiashara na wasio wafanyabiashara walifilisiwa na wengine kufungwa mbona hakujiuzuru?
Mbowe na wenzake walikua na kesi ngumu wakati akiwa serikalini na chamani kama hii ya Leo ya Lissu mbona hakuonesha kukerwa wala kuipinga kesi hiyo ya uongo?
Humphrey Polepole Karma inakula ndugu.
Mifumo mliyoijenga na kuikumbatia inawarudi.
Pambana TU utarudi kundini hata Nape alipitia unayopitia lkn Mungu aliamua kesi.
Tumekataa wahuniSiandiki mengi.
Ila mtu huyu ni mnafiki mkubwa.
Alikuwepo serikalini na Chamani wakati serikali aliyokua akiitumikia iliwatendea baadhi ya Watanzania kama wanavyotendewa Leo hii. Mbona hakujiuzuru.
Mfano wagombea wote wa vyama vya upinzani kuenguliwa kwa vijisababu vya uonevu TU.
Baadhi ya wapinzani na wasio wapinzani walitekwa,walipigwa ,waliumizwa na wengine waliuliwa mbona hakukemea au kujiuzuru?

Polepole uhuni kajifunzia CCM na huko wahuni wenzie bado wakoHapo nani muhuni?
Polepole hajaikataa dhambi yoyote ndugu,wala Hana ubavu huo,huyo ni mhuni kama wahuni wenzie huko ndani ya CCM,watu kama yeye wako wengi TU huko,utaona siku utawala huu usiompenda ukitoka akirudishwa CCM mateso yataendelea kwa watu na wala hatakea.Hongera Polepole kwa kuikataa dhambi.. sasa upo HURU maana Kweli yako imekuweka.
Muda wa uchaguzi huu anacheza na akili za watu.So what!!?
Mimi sijawahi kua CCM na hakuna Mwana CCM ninaemuamini.
Hivi Kuna time limit ya lini na ki vipi kujiuzulu kunakuwa na maana..?Siandiki mengi.
Ila mtu huyu ni mnafiki mkubwa.
Alikuwepo serikalini na Chamani wakati serikali aliyokua akiitumikia iliwatendea baadhi ya Watanzania kama wanavyotendewa Leo hii. Mbona hakujiuzuru.
Mfano wagombea wote wa vyama vya upinzani kuenguliwa kwa vijisababu vya uonevu TU.
Baadhi ya wapinzani na wasio wapinzani walitekwa,walipigwa ,waliumizwa na wengine waliuliwa mbona hakukemea au kujiuzuru?
Kuna wafanyabiashara na wasio wafanyabiashara walifilisiwa na wengine kufungwa mbona hakujiuzuru?
Mbowe na wenzake walikua na kesi ngumu wakati akiwa serikalini na chamani kama hii ya Leo ya Lissu mbona hakuonesha kukerwa wala kuipinga kesi hiyo ya uongo?
Humphrey Polepole Karma inakula ndugu.
Mifumo mliyoijenga na kuikumbatia inawarudi.
Pambana TU utarudi kundini hata Nape alipitia unayopitia lkn Mungu aliamua kesi.
Mimi sijawahi kua CCM na hakuna Mwana CCM ninaemuamini.
Polepole anapambana na mfumo alioshiriki kuujenga.
Alishiriki kufunga jini ambalo lilitaka kumla ndio anapambana nalo.
Akifanikiwa kuliua jini hili atarudi kuendelea kushiriki kufuga majibu mengine ili watu wengine waendelee kuliwa..
Nyie kwa sababu ni wepesi kusahau endeleeni kumshangilia.
Ila Mimi simuamini mwana CCM hata mmoja.
Yaani una maana Mvinyo ni Ule Ule bali kinachobadilikaga ni Chupa tu ?????!! π³ !Polepole uhuni kajifunzia CCM na huko wahuni wenzie bado wako
Anacholilia ni kutengwa na kutupwa.
Hakuna hata maana CCM mmoja aliewahi kua mwema.
Huwezi kua mwema wakati umeshiriki kuiba,kubadilisha na kuficha mabox ya kura za wapinzani ili CCm ishinde halafu ukajiiona wewe ni mtu wa haki.
Yote hayo yamefanyika sio wakati wa Mqendazake TU,Bali nyakati zote polepole yumo humo hajawhi hata kushauri TU haki itendeke.
CCM ni ilieile wanachobadilishaga ni Mwenye kiti.
Polepole Hana tofauti na Nape,Mwigulu, January na wengine kama wao,Hawa walishiriki kuwapatia machungu makubwa Wapinzani, lakini wao yalioowakuta wakaanza kutafuta huruma za watu,waliporudishwa kwenye mfumo walikua kimya na maovu yakaendeela kama kawaida.
Huyu ni mhuni TU hana lolote.