Mmawia
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 122,521
- 96,268
- Thread starter
- #21
Nakubaliana na mawazo yako mkuuSifa za mwanasiasa uchwara ni kusaka welekeo wa upepo. Hawana stability. Hawa kufuata upepo huwahakikishia shibe.unafiki ni moja ya cv zao zinazowahakikishia teuzi na kudumu kwao kwenye hizo teuzi !!!