Mmawia
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 122,521
- 96,267
Leo hii hawa watu wawili wanaibuka na kusema kuwa kwa sasa kama taifa halihitaji Katiba mpya.
Wamesahau kuwa walishiriki mchakato wa mapendekezo ya kuipata rasimu ya katiba mpya.
Hawa watu wanajiondolea sifa ya kuwa viongozi wa taifa letu maana hawana sifa tena.